Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wenzentu wanaomba misaada ya kukarabati reli ya zamani kutoka china, sisi tunaajiri wachina kukarabati reli Toka Dar hadi Isaka.
Kumbuka wakenya wameahidiwa na hawajapewa bado.

Mwanzoni nilipomsikia Kadogosa akiliongelea hili la ukarabati nilidhani wataweka mataluma ya zege kumbe wanarudishia yale ya chuma?
 
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

But hii picture ni ya zamani kidogo,sasa the tower is almost height of Times Towers
Streets nabarabara ni the same. Was focusing on them
anyway hujachoka na huu uzi?
si admin wa JF akupe promotion uwe moderator kwa Kenyan forumπŸ˜‰
 
Streets nabarabara ni the same. Was focusing on them
anyway hujachoka na huu uzi?
si admin wa JF akupe promotion uwe moderator kwa Kenyan forumπŸ˜‰
Thread iko chini sana and boring,, swezi taka kazi hapa
 
Mwanzoni nilipomsikia Kadogosa akiliongelea hili la ukarabati nilidhani wataweka mataluma ya zege kumbe wanarudishia yale ya chuma?
Ili kufanya mabadiliko hayo inabidi ujenge tuta jipya la reli ambapo ni sawa na reli mpya vilevile la zege linatakiwa reli iwe pana zaidi ndio ubora wake mwingine, so ukiweka mataluma ya zege kwenye hiyo nyembamba na tuta lake hilohilo ni sawa na kuchezea resources
Tuta la reli ndio uimara wa reli yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…