Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndege mbili mpya za serikali, aina ya Bombardier D8 Q400 na Boeing B787-8 Dreamliner zinatarajiwa kuwasili nchini mwishoni mwa mwaka huu. Hadi sasa ndege za ATCL zinafanya safari katika mikoa 9 nchini, na kwenda nchi 5 za Afrika (Zambia, Zimbabwe, Burundi, Morocco na Uganda). https://t.co/ASckM8w1AQ
 
Gap ni ile ile $40b
Wapi GDPπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ madeni yamejaa mpaka matakoni ndani ya GDP
6.3trillion ksh debtπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† alaf unazungumza habari ya GDP

So hapo chukua total GDP toa hio debt alaf uone GDP yenu halisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…