Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Although i don't have one, but let me ask, has Samsung S8 struck TZ markets yet??
Samsung premier experience store at two Rivers
wew acha kujidanganya......zishazagaa hzo samsung s8.....kinachongojewa ni iphone8 tu .....wew wa wapi
 
mimi sio wa vijiweni, I actually have a day job..... with a salary waay past six figures ichoboy01, kwako hiyo ni ndoto! hadi ukasome kwanza!
we imba tu mabomu haya mambo mengine usiyaingilie...ntakuaibisha tena! Ohooo!!
hydrogen vip inapaswa uombewe....yaan bado upo tu....na hizo sindimba zako....broo vip
 
Utajiju! We mwehu nini???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Utajiju! We mwehu nini???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
naewewe wanjala unamashushu mpaka utajiju tena......ushakuwa kama depay.......maana siku hizi anaimba taarabu mziki asili wa mwambao
 
Bomu linampeleka mchakachaka hana hamu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ila vip kuna kideo kadoda katuma apo umekionaje......ila kuna moja hyo naitafuta ni zaidi yaani ni kali kila nikiitafuta siipati..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…