Napaona Tabata Bima. Kanisa Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme.kuna sehemu nyingi tu huwa ni middle class na vile vile kuna upper class,mfano tabata ni kubwa kuliko hivyo vibanda vyenu na imejigawa mara 6 zaidi,tabata ni sehemu ambayo ina tabaka mbili yaani ina middle na upper ,,hivyo baadhi ya maeneo yetu mengi ya makazi yamejicategorize
unaweza kuta sehemu moja ina vitongoji vyake nakutolea mfano wa hiyo hiyo tabata,tabata imejigawa kama ifuatavyo
1.Tabata Bima
2.Tabata Chang'ombe
3.Tabata Segerea
4.Tabata Liwiti
5.Tabata Balakuda
6.Tabata Kimanga,n.k
najua nakuelekeza mtu ambaye ni kilaza hapo najaribu kukuonyesha ili ujue ni jinsi gani tabata ni kubwa vile vile tabata 99% ipo planned na ni kubwa sana hizi ni moja ya sehemu ya mazingira ya tabata yanavyoonekana kimakazi,na hauwezi pata aerial view ya pamoja ya tabata kwani ni kubwa kuliko mkusanyiko wote wa hizo estate zenu na hampawezi hata robo
TABATA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1073730View attachment 1073731
Sent using Jamii Forums mobile app
Like a bad drainage system, always flooded after rain, so does the roads full of traffic.Mombasa has more vehicles than Dar is slum, Atupa( Arusha) and Mwanza combined.View attachment 1073522
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaelewa kimombo
View attachment 1073325
Jamani tuache utani Dar inapendeza sana halafu cha kufurahisha mji umejengwa na watanzania wenyewe na unamilikiwa na watanzania wenye utajiri wa kawaida tuu, siyo makampuni makubwa ya nje ya kibepari.
yah,,kumbe umepasoma pale ni konki,sasa hawa majirani manyang'au wanakuambia tabata ni slum[emoji3][emoji3][emoji3] wanaongea vitu wasivyovijuaNapaona Tabata Bima. Kanisa Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme.
Kanisa la Tabata ni kubwa kuliko Cathedral Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
eti manyanga'au wanakuambia tabata,chang'ombe na sehemu nyinginezo ni slum yaani wanaongea vitu ambavyo hata hawavijui ,kuna nyang'au nimemnyoosha hajarudo tena kapita kimya kimya hajarudi tena kuquote[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni kwa sababu hizo picha za Dar unazozibeza ni za watu wa hali ya chini zaidi, wanajaribu kukuonesha tofauti ya watu wa hali ya chini Dar na Nairobi. Watu wa tabaka la chini Dar ni binaadamu ila tabaka la chini huko Nairobi wanaishi kama nzi wa jalalani au funza wa chooni na ndio maana huwezi kuta slums DSM kwenye Google since hatuna huo uchafu
hiyo sehemu napendeza knyama chek mandhal hiyo[emoji269][emoji267][emoji268][emoji269][emoji267][emoji268][emoji39]
Being selective in your posts won't save your sorry state if afairs Mr tabata.kuna sehemu nyingi tu huwa ni middle class na vile vile kuna upper class,mfano tabata ni kubwa kuliko hivyo vibanda vyenu na imejigawa mara 6 zaidi,tabata ni sehemu ambayo ina tabaka mbili yaani ina middle na upper ,,hivyo baadhi ya maeneo yetu mengi ya makazi yamejicategorize
unaweza kuta sehemu moja ina vitongoji vyake nakutolea mfano wa hiyo hiyo tabata,tabata imejigawa kama ifuatavyo
1.Tabata Bima
2.Tabata Chang'ombe
3.Tabata Segerea
4.Tabata Liwiti
5.Tabata Balakuda
6.Tabata Kimanga,n.k
najua nakuelekeza mtu ambaye ni kilaza hapo najaribu kukuonyesha ili ujue ni jinsi gani tabata ni kubwa vile vile tabata 99% ipo planned na ni kubwa sana hizi ni moja ya sehemu ya mazingira ya tabata yanavyoonekana kimakazi,na hauwezi pata aerial view ya pamoja ya tabata kwani ni kubwa kuliko mkusanyiko wote wa hizo estate zenu na hampawezi hata robo
TABATA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1073730View attachment 1073731L
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ni tamu acha tu, ukisafiri kwa bus kama ni mpenzi wa nature hutokinai safari kwa routes zote za Tanzania sababu mandhar ni superb kichixi
[emoji3][emoji3][emoji3]hiyo ni tabata ya wapi.....?..unachukua tu picha Tabata hakuna vibanda umiza mzee baba kungekuwa tabata ningekukubalia,,,,,hiyo ni mitaa ya ManzeseBeing selective in your posts won't save your sorry state if afairs Mr tabata.
Tabata [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1073934View attachment 1073935View attachment 1073936
And by the way why did you just decide to focus on Tabata alone while I mentioned many other estates in my post? What about Buguruni, Chang'ombe, Sinza,Gongo la Mboto, Mwananyamala, Vingunguti, Ilala, Mabibo, Temeke, Tandika? Ama hizo sio mitaa za Dar?
kabisa ni konkiTanzania ni tamu acha tu, ukisafiri kwa bus kama ni mpenzi wa nature hutokinai safari kwa routes zote za Tanzania sababu mandhar ni superb kichixi
Yaani toka uanze kupost nyumba za chini Tanzania hujafika hata robo ya zile nyumba za slums around Nairobi, in short masikini wa Tanzania ana hali nzuri kuliko wa KenyaBeing selective in your posts won't save your sorry state if afairs Mr tabata.
Tabata ππππ€£π€£
View attachment 1073934View attachment 1073935View attachment 1073936
And by the way why did you just decide to focus on Tabata alone while I mentioned many other estates in my post? What about Buguruni, Chang'ombe, Sinza,Gongo la Mboto, Mwananyamala, Vingunguti, Ilala, Mabibo, Temeke, Tandika? Ama hizo sio mitaa za Dar?
unapata tabu sana....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1073962
Kwan ukiskia neno fishing village hapo unashangaa nn kwasababu dar ilianza na fishing industry toka enzi na enzi wapi unapata tabu???
aliyeandika "house for sale in tabata" si ni mkaazi wa Dar? Sio mimi nilipost, ni mtanzania mwenzako. Endeleeni Kukana Jiji lenu. Tushawazoea hata[emoji3][emoji3][emoji3]hiyo ni tabata ya wapi.....?..unachukua tu picha Tabata hakuna vibanda umiza mzee baba kungekuwa tabata ningekukubalia,,,,,hiyo ni mitaa ya Manzese
unafel
Sent using Jamii Forums mobile app
and it's still a fishing village to date ndo maana wakasema hivo and a glorified village as wellKwan ukiskia neno fishing village hapo unashangaa nn kwasababu dar ilianza na fishing industry toka enzi na enzi wapi unapata tabu???