[emoji3][emoji3][emoji3]hizo nilizokuteulia ndiyo za dar,halafu wacha masihara buda yaani huo uchafu wa hayo maeneo unataka kucompare na hayo maeneo ya watu wanaoishi mazingira yabkawaida ya dar,we kweli unaumwaAsante kwa kukubali kwamba nyingi za hizo picha ni zar Mitaa za dar (japo najua zote ni za dar). Kuna mwenzako hapo alizikana zote. Hiyo kando, nini cha kufurahisha sana kwa hizo numbs mshinde mkitujajia vile mmejenga numbs dar? All I can see are very simple houses with corrugated iron sheets in very disorganised estates. No planning at all. Utasema niko na uzalendo ila ukweli ni kwamba huwezi pata nyumba kama hizo Nairobi nje ya slums. Ni ukweli pia kwamba nyingi za nyumba za dar zinafanana hivyo. Ni vigumu sana kupata nyumba Kama Hizo Donholm, Umoja, Embakasi, Kayole, Imara Daima, Pipeline, Kasarani, Kahawa, Komarock, na mitaa mengine Kama hayo. Those are low middle income estates
Hueleweki... ila me nikwambie ukweli slum mfano wa Kibera Dar hamna ingawa makazi duni yapo. Halafu naomba nikupe taharifa mara nyingi unaitaja Dar na kusema capital city hapo unakosea. Dom ndiyo capital city, huko pia hamna slums ila hakujaendelea kama Nai na Dar.M
Mbona mnapambanisha Mitaa zenu na kibera? Kila tunapoleta pics za Mitaa za dar mnajibu kwa kuleta pics za Kibera. Does it mean kibera is the only thing inaweza pambanishwa na mitaa zenu. Kwa kikufupi, yani dar nzima no slums tu ndo maana Lila tunapocompare anything Lazima kibera itajwe. Basi tuseme kwamba dar na kibera zinafanana
endelea kujifariji kwa kuokota okota picha zisizo za dar ,hapo kuna baadhi ya picha ndiyo hizo nyingine warudishie wenye nazo....
ila ukweli ni huu hapa kuna tofauti kubwa sana ya kimazingira yakimaisha kati ya maskini wa kenya na maskini wakitanzania ,maskini wa kenya ni choka sanaa na mnaishi kwenye hali yakusikitisha sana maana imekuwa si umaskini imekuwa ni umaskini tena wenye uchafu kupindukia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
nisikufiche haya siyo maisha aisee
mnasikitisha
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1073391View attachment 1073392View attachment 1073394View attachment 1073395View attachment 1073396View attachment 1073398View attachment 1073400View attachment 1073402View attachment 1073403View attachment 1073404View attachment 1073405View attachment 1073409View attachment 1073411
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππ watu wanaishi kama nguruwe nairobiHueleweki... ila me nikwambie ukweli slum mfano wa Kibera Dar hamna ingawa makazi duni yapo. Halafu naomba nikupe taharifa mara nyingi unaitaja Dar na kusema capital city hapo unakosea. Dom ndiyo capital city, huko pia hamna slums ila hakujaendelea kama Nai na Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kalale kijana wa Magu. Am asking you about their current handling capacity unanitajia mambo na expansion. Umesikia ni wapi expansion haifanyiki? If you can't answer the question just shut upUnajua maana ya expansion au akili yako fupi????
eti only kibera[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]we jamaaa ni zero brain kweli,vipi kuhusu mathare,dandora na sehemu nyinginezo ,usipende kujifirahishawhere did you get the first two pictures from? That skyline in the background sip us Nairobi. A lady ebdeleeni kuleta pics za dar kufunika uchafu wenu. Kibera is the only thing in Nairobi that can be compared to Dar is slum
Ahahaha hujui maana ya expansion nafkiri ππππ mwaka jana dar ime handle 20m tonns mwaka huu na expansio ikiendelea tegemea makubwa zaidinenda kalale kijana wa Magu. Am asking you about their current handling capacity unanitajia mambo no expansion. Umesikia no wapi expansion haifanyiki? If you can't answer the question just shut up
jamaa anakuambia kibera pekee ndiyo ipo choka dandora,mathare na pengineko anajifanya hapajui[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] watu wanaishi kama nguruwe nairobi
Sasa kama ilikua hujui ndio nikushtue,sasa hivi unatoka dar hadi mpanda barabara ni lami mwanzo mwisho ni 900km dar -Tunduma+ 225 tunduma to sumbawanga + 380 Mpanda yaani ni safari ya 1505km mzeya,sahv wanaipeleka tabora bado kidogo inaisha...upande wa pili Mpanda uvinza nayo ishaanza so soon hakuna mkoa utakua haujafikiwa na mkekaNairobi bus stage
View attachment 1073437
Mpanda bus stage[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1073434View attachment 1073435
Nairobi ina slums zaidi ya 40 watu wanaishi zaidi ya maisha ya nguruwejamaa anakuambia kibera pekee ndiyo ipo choka dandora,mathare na pengineko anajifanya hapajui[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio na kigoma pia ujenzi uko mwishoniSasa kama ilikua hujui ndio nikushtue,sasa hivi unatoka dar hadi mpanda barabara ni lami mwanzo mwisho ni 900km dar -Tunduma+ 225 tunduma to sumbawanga + 380 Mpanda yaani ni safari ya 1505km mzeya,sahv wanaipeleka tabora bado kidogo inaisha...upande wa pili Mpanda uvinza nayo ishaanza so soon hakuna mkoa utakua haujafikiwa na mkeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Estim wako vizur sana sahv wanapiga kazi balaa,ndio wanajenga kimara-kibaha highwayAga khan hospital dar[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1073406View attachment 1073407
View attachment 1073408View attachment 1073410
Aga khan hospital nairobi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116]
View attachment 1073418View attachment 1073419View attachment 1073420
Dunia ina shangaa MLDC alaf huku serious issue zikiwatokea matakoni ππππNicxie...unaskia hku ya kwamba ni sehemu ya middle class dar...hemu nenda google earth ukajionee maajabu...bwahaaaa.....
Tutajieni na mitaa mingine tujifurahishe...
Leta link kudhibitisha Madai yakoAhahaha hujui maana ya expansion nafkiri ππππ mwaka jana dar ime handle 20m tonns mwaka huu na expansio ikiendelea tegemea makubwa zaidi
Na mwaka huy tegemea mtwara kwa wingi na tanga port kwa wingi ππππ
middle class za nairobi tunazipa tandale maana tukiwapa real middle class za zenyewe bado hamtishi hamgusi hata ukucha bado mpo local hivyo middle class zenu ni hadhi ya tandale japo kwa huku dar tandale ni sehemu ya wanayoishi wanachi wakawaida,,,,,ila hii hii tandale ikija nairobi inakuwa middle classNicxie...unaskia hku ya kwamba tandale ni sehemu ya middle class dar...hemu nenda google earth ukajionee maajabu...bwahaaaa.....
Tutajieni na mitaa mingine tujifurahishe...