Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unafanya nini Nairobi. I thought dar no mambo. kumbe kuna huduma zinging muhimu lazima upate tu Nairobi!!!
we si mbwa tu usiyejua hata maana ya biashara ni nini? usikute kwa njia moja nakupa hata ela ya chakula wewe. Nimekuja naiorobi kuexpand sasa wewe endelea na mdomo mchafu mchafu usikute hata lunch hujapata. Eti nimekuja kupata huduma, unadhani mi nahitaji immediate help from the WFP kama wewe?
 
soon tunatest mtambo,jana tulikua tunaunga reli,sasa wewe jidanganye hapo kibera eti sgr yetu imesimama
 
Niliona uliweka picha fulani eti uko Kule maeneo ya hub Karen (of which I really doubt). Kama ni kweli uko Nairobi, iweje hujui kwamba county ya Nairobi ina mawaziri kivyake? Mnajifanya mnajua Sana Kenya nakujihusisha na mambo yetu wakati za kwenu zimewashinda mnakuja kutafuta hifadhi kenya. Hakuna siku Giza na mwangaza zitashikana ziwe kitu kimoja. Keep to your lanes bru!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Have you ever traveled by air before? I really doubt. Kama umewahi safiri na ndege and you had to connect a flight, ungejua haha ni mambo ya kawaida Sana. People sleep in airports from Heathrow to JF Kennedy to Oliver Tambo and many other airports around the globe while waiting for a connecting flight. Lakini kwako wewe Kijana wa Tandale, hayo ni mambo ya ajabu yenye haijawahi tokea. Toka njee ya mazense uone dunia. The world does not start and end at Mbagala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…