Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamuwezi ikwepa hii thread walikuwepo wenzako kama ww wakina wanjala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ walishindwa hii thread imewatia aibu kubwa sana na lazma muipitie kujua sasa sio ile tz ya 90s

Ebu jione ndugu, hakuna kazi unafanya, kichwani umejaa tope la ujinga ni kama laana, this thread has lost its meaning because of people like you,
 
GDP hewa isokua na msaada kwa taifa watu turakana wanakufa na njaa, miji mikubwa maji hakuna, watu wanshindwa kulipia matibabu alaf unazungumza GDP[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Jumba refu pamoja na mnara alaf no of floors 31 urefu uliobakia mnara juuu[emoji122][emoji122][emoji122]
Nchi zinazoweza kututisha ni nigeria , SA, Egypt, na Ghana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20190410_162952.jpg

Unajua ukweli ni nini, its sponsored by sportpesa a Kenyan company, yani tumewaurumia,
Huyu hana hata habari Southampton inakuwa sponsored na sportpesa. Huyu kijana 99% of the time hajui anachoongea. Anaweza kuletea link bila kujua link yenyewe inasema nini. Juzi alileta link Fulani hapa about electricity access in TZ nikacheka sana baada ya kusoma link yenyewe. Huyu kwa kelele hajambo
 
Failed state gdp $100b
Kisiwa cha amani na kula kinyesi $60b
Koroshow
Stalled sgr
ATCL tukaambiwa inaanza safari za mumbai septemba mwaka jana sa tuko April 2019
Jumba refu eac lipo Nairoberry πŸ˜€πŸ˜€
Nimeamua kuchungulia humu nikijua mtakimbilia kujiliwaza huku baada ya IMF report.
Hahaha daah...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha, now Kenyans lets stop this thread i think we are now wasting our time here, we have already prove the point,
sisi tunafanya kazi, tunalipa ushuru, mbona tuendele kupoteza wakati hapa,
Nijibu haya maswali machache
1.Nitajie mradi mkubwa ambao serikal yenu imeufanya bila kukopa...
2.Shida iko wapi kwann northern Kenya kuna umaskini mkali sana? Hakuna lolote I maana
3.Mambo ya hasara kama rushwa kwann hayakemewi Kenya?

Tuna GDP ndogo walipa kodi wachache,izo chache tuazozipata tunazibana zinafanya maendeleo tunapokwama yunakopa...hapa mnalakujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu jione ndugu, hakuna kazi unafanya, kichwani umejaa tope la ujinga ni kama laana, this thread has lost its meaning because of people like you,
Mm kazi yangu naeza kukulisha ww na familia yako miaka 5 mfululizo so usifkiri kila mtu yupo yupo tu humu ndaniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Huyu hana hata habari Southampton inakuwa sponsored na sportpesa. Huyu kijana 99% of the time hajui anachoongea. Anaweza kuletea link bila kujua link yenyewe inasema nini. Juzi alileta link Fulani hapa about electricity access in TZ nikacheka sana baada ya kusoma link yenyewe. Huyu kwa kelele hajambo
Hehehe safari hii tanzania imewakamata kindakindaki hamuli wala kupumua πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Nijibu haya maswali machache
1.Nitajie mradi mkubwa ambao serikal yenu imeufanya bila kukopa...
2.Shida iko wapi kwann northern Kenya kuna umaskini mkali sana? Hakuna lolote I maana
3.Mambo ya hasara kama rushwa kwann hayakemewi Kenya?

Tuna GDP ndogo walipa kodi wachache,izo chache tuazozipata tunazibana zinafanya maendeleo tunapokwama yunakopa...hapa mnalakujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
Akikutajia tu nitag nasubiria alaf baadae aje atueleze iko wapi GDPπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hili soko hua linaungua kila baada ya miezi yani wanatiana umaskini kwasababu za roho mbayaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Yani kazi yao kutiana umaskini kisa ardhi

Back
Top Bottom