Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

siku zote ukweli haufutiki....eti mzee anazindua kila siku..wajua magavana wamejenga barabara km ngapi kaunti zote 47 2018 mpka sasa...wacheni uropokaji km nyie ndio mnazindua tu...hapo hatujagusa za serekali kuu...yani mtakimbia...

yani katika hzo kaunti 47...iko na towns za uhakika km 40 hv...na hapo kuna zngine ziko na town zaidi ya moja...alafu uje katika miji midogo midogo katiika sub counties...ujuwe kila county ina sub counties zisizo pungua tatu.. yani we achana kenya kabisa katika maendeleo mashinani japo kuwa kuna sehemu zina mapungufu
 
wacheni porojo...hta haina haja mpewe barabara za serikali kuu...za magavana pekeyake walizojenga 2018 hadi sasa hamtafua dafu...endelea kulia lia tu na ule wimbo wenu wa nairobi na wakati mashinani watu wanawekeza na kutusua sai...
 
reli ya 45% haina hta picha ya angani yenye umbali wa km moja...yani wanajenga vipande vipande tu...katika vile vibanda vyao vya mbuzi wamejenga tu..lkn sidhani km mna reli iliyofika yale maeneo...yani kudanyana tu na vi video vile vile vya kila siku...kwn tanzani hakuna drones.. bwahaaaa
dictator hataki walala hoi wayajue yake..anataka mshtukizie kifaa ndio hicho cha kiboya kimetokea..mpende msipende hakitoweza kubadilishwa...ndio manake ameanza kumkumbatia mkuu wa majeshi sai ..manake kaona hali si hali
 
wacheni porojo...hta haina haja mpewe barabara za serikali kuu...za magavana pekeyake walizojenga 2018 hadi sasa hamtafua dafu...endelea kulia lia tu na ule wimbo wenu wa nairobi na wakati mashinani watu wanawekeza na kutusua sai...
Jipe moyo tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kazi mliobakia nayo ni corruption na wizi
 
Hio vpπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kuna view matata sana ukiwa kwenye ferry to Au from Zanzibar. CBD na Knyama hutaamini.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ngojeni tuu Magu aondoke Magogoni watu waruhusiwe kupiga picha kwenye engo zote, watu watatafutana hapa.
 
Project gani kubwa mmezindua nje ya Nairobi mwaka huu?walau ya zaidi ya 100km nakuendelea ,sasa kama Hamna evidence tunaaminije maana hatuishi Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Acha kuturopokea hapa, topic ya paved roads tumeshafunga mjadala sababu tumewapita kwa zaidi ya kilometers 7000 mpaka sasa

Issue hapa ni Hawa ndugu zako wanaoishi kama homeless airport πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wapi GDP au iko kwa karatasi za mkikuyuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wewe Acha kuturopokea hapa, topic ya paved roads tumeshafunga mjadala sababu tumewapita kwa zaidi ya kilometers 7000 mpaka sasa

Issue hapa ni Hawa ndugu zako wanaoishi kama homeless airport πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aisee hawa nyumbu wanavijimambo vya kipekee, mafala sana hawa wehu
 
Wewe Acha kuturopokea hapa, topic ya paved roads tumeshafunga mjadala sababu tumewapita kwa zaidi ya kilometers 7000 mpaka sasa

Issue hapa ni Hawa ndugu zako wanaoishi kama homeless airport πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakirudi utaskia wanakwambia GDPπŸ˜†πŸ˜†

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…