Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio picha hapo ni zanzibar na sio dar au unabishaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kila baada ya masaa anafungua barabara magu taratibu plzπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kuna siku niliwaambia Tanzania ina kilometres nyingi za barabara ya lami kuliko Kenya wakabisha, kule Tabora, Singida, Kigoma kuna zaidi ya kilometers 2000 zipo tayari time yoyote Magufuli ataenda kuzindua na bado kuna nyingine ataweka mawe ya msingi.

 
AirTanzania new places

 
Pole kaka
Kenya - 9200 km



Tanzania - 7600 km

Namba mtazidi kusoma. And Tanzania is almost twice the size of kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…