Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,153
- 107,721
Hata mie naona wako on track kwa daraja maana beams wanazo ni kuzipachika then kokoto, reli na catenary polls! 2 km is not a lot!Hapana mkuu in engineering point foundation ndio kazi kwingine n mteremko hapo ukishasimika nguzo au column hizo beams zinakuwa manufactured kiwandani hapo ni unazipatch tu so hapo wanavosema 60% imekamilika mean kwenye foundation na other important works ziko above 85% mean hapo hata wakiamua ndani ya mwezi wamalize wanamalize it a matter of their choice according to their documents
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini bado naona kama muda ni changamoto stesheni ndio wanaaza.Hata mie naona wako on track kwa daraja maana beams wanazo ni kuzipachika then kokoto, reli na catenary polls! 2 km is not a lot!
Hio stesheni wala sio kazi kuijenga, kumbuka watatumia fabricated steel structures cladded with a lot of glass panels. Cha muhimu ni foundation ikamilike mapema.Lakini bado naona kama muda ni changamoto stesheni ndio wanaaza.
Kwa stesheni sidhani kama itakuwa tayariLakini bado naona kama muda ni changamoto stesheni ndio wanaaza.
Hii si ndo kitu JPM alifanya kitambo sana, ghost workers...๐๐๐๐ nimecheka sana ๐๐๐๐
You fool,Uhuru uses Fokker 70 , Fokker 28 inapatikana only in Tanzania.Kwani nn tatizo la fokker 50 mbona kenyatta anatumia fokker 28 na hatusemi hapa wakat the same fokker 28 huku inatumiwa na mawaziri[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kenya presidential aircraft[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1060253
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]inatumiwa na mawaziri
View attachment 1060254
What is the turnover ya ATCL? Estupido.Miaka 47 ya kq bado munamiliki ndege 3 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wakat air tanzania imefufuliwa within 2 yrs ina ndege 8 sasa hvi cash deal
Kwani pangaboy haziendagi overseas?Ndugu Levi, hawa watu wa porojo na propaganda bado hawajafika, ona habari hiyo,
IOL | News that Connects South Africans
Discover the world of IOL, bringing you a mix of current news across politics, sport, business, motoring and lifestyle. Telling your stories and driving change!www.iol.co.za
Profit ikitoka wapi? Nimesikia inatoa watu singida hadi chato?kama hujui uwepo ya hio ndege itaongeza mapato pale kwenye loss endapo ndege kubwa zinaleta hasara. Maana capacity ya Fokker ni 48 si rahis hii isafiri bila kuwa fully... sasa wew unajisifia ndege kubwa na pengine hazijazi watu na bado kila mwaka shirika lenu linapata hasara...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hii ni nini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1060372
Nyumbani kumenoga, ahsante Tanzania
Walah mkebe huu sinunui ๐๐๐
Tz tunatumia G550 Gulfstream usicompare na Fokker 70 utaumbukaYou fool,Uhuru uses Fokker 70 , Fokker 28 inapatikana only in Tanzania.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Punguza hasira kwanza๐๐๐๐You fool,Uhuru uses Fokker 70 , Fokker 28 inapatikana only in Tanzania.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Imefufuliwa within 2 yrs mbona unawaswas sana ๐๐๐๐