Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana wamepitisha sheria ya kuwaruhusu kuuza vijambio ndio wapunguze unemployment
 
Big GDP ya Kenya hapa haiwezi kuongeza ajira hata kidogo, au Kenya mbili?
 
kwa kuwaonyesha wakenya kwamba sisi watz ni watu jeuri, dakika chache zilizopita, bondia wetu hassan mwakinyo amemchapa kwa KO mu-argentina ndani ya jiji lao la nairobi.

ndio kusema tumechukua "point tatu za ubwete" mbale yao. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji122][emoji122][emoji122]

 
Safi sana dogo Mwakinyo, atafika mbali sana huyu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…