Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Sioni mvuto wa hii nyumba hata kidogo. Utadhani mdudu washawasha
Ndio maana wamepitisha sheria ya kuwaruhusu kuuza vijambio ndio wapunguze unemploymentacha kutupotezea mda.
here is the latest news that talks about unemployment rate in africa.
asilimia arobaini ya ma-youth hapo kenya(nairobi) ni majobless. mmekalia kupiga maround cbd na kufanya ukora.
View attachment 1051558View attachment 1051559View attachment 1051560View attachment 1051561View attachment 1051562




haya sasa kushakucha,,,,mambo yanazidi kunoga.....Cassava flour plant.. View attachment 1051825View attachment 1051826View attachment 1051827
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati jirani anakufa njaa, land of milk n honey inafungua kiwanda cha unga wa muhogo!Cassava flour plant.. View attachment 1051825View attachment 1051826View attachment 1051827
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani mambo ni motoWakati jirani anakufa njaa, land of milk n honey inafungua kiwanda cha unga wa muhogo!
Big GDP ya Kenya hapa haiwezi kuongeza ajira hata kidogo, au Kenya mbili?acha kutupotezea mda.
here is the latest news that talks about unemployment rate in africa.
asilimia arobaini ya ma-youth hapo kenya(nairobi) ni majobless. mmekalia kupiga maround cbd na kufanya ukora.
View attachment 1051558View attachment 1051559View attachment 1051560View attachment 1051561View attachment 1051562
Wamewapa mabeberu walime maua na chai iongeze gdpWakati jirani anakufa njaa, land of milk n honey inafungua kiwanda cha unga wa muhogo!
Halikufanikiwa kujengwa..sijajua miaka ijayowakuu niajee.....?..
kuna yeyote mwenye taarifa kuhusiana na huu mchakato kama upo au haupo?
View attachment 1051832
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
Safi sana dogo Mwakinyo, atafika mbali sana huyu,kwa kuwaonyesha wakenya kwamba sisi watz ni watu jeuri, dakika chache zilizopita, bondia wetu hassan mwakinyo amemchapa kwa KO mu-argentina ndani ya jiji lao la nairobi.
ndio kusema tumechukua "point tatu za ubwete" mbale yao.
View attachment 1052561