Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,076
- 35,284
Kuna mmoja katia fora,yan hadi wenzie wamemcheka na kumuambia ukweli aache roho ya kimungiki maana huyu now ni zamu ya dar,jamaa anadai hadi mount kilimanjaro tunashare nao!Mmeangalia Comments za ndugu zetu kaskazini? Ni battle kama hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizi hela za utalii ni nying sana. Inafika sehem nawazaga sana kwann wasitoe hata $0.5 B wajenge mfano viwanja vya mpira vya kimataifa mf kule Arusha au hata hospitali ya kimataifa kule dodoma .. center ya nchi ... βJ.K.Nyerere International Hospitali β[emoji1][emoji2] ... bas tu niendelee kuwaza hiv hiv pengine ipo siku haya yatatendeka [emoji5][emoji2]
Hii nchi inaelekea wapi! mbona majanga kila siku?
Umeme wa uhakika na uwanja wa mpira kipi cha muhimu kwa sasa? Je hospital ya Mkapa huioni Dodoma?Hizi hela za utalii ni nying sana. Inafika sehem nawazaga sana kwann wasitoe hata $0.5 B wajenge mfano viwanja vya mpira vya kimataifa mf kule Arusha au hata hospitali ya kimataifa kule dodoma .. center ya nchi ... βJ.K.Nyerere International Hospitali β[emoji1][emoji2] ... bas tu niendelee kuwaza hiv hiv pengine ipo siku haya yatatendeka [emoji5][emoji2]
Dodoma kweli inahitaji hosp nyingine kubwa. Ila Magu ameliona mchakato umesha anzaHizi hela za utalii ni nying sana. Inafika sehem nawazaga sana kwann wasitoe hata $0.5 B wajenge mfano viwanja vya mpira vya kimataifa mf kule Arusha au hata hospitali ya kimataifa kule dodoma .. center ya nchi ... βJ.K.Nyerere International Hospitali β[emoji1][emoji2] ... bas tu niendelee kuwaza hiv hiv pengine ipo siku haya yatatendeka [emoji5][emoji2]
i'm 100% sure this video is pissing off some kenyans....they don't like it. they would like it be removed from youtube. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]March 7, 2019
Dar -es -Salaam, Tanzania
Maya Wode - You Can't Believe This is Tanzania
Source : Wode Maya
Pesa hizo ohoomeanwhile[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1041457
Unaeza uka ichukulia Dar poa kwakua unaishi hapa, ila hizo comments kwenye hiyo video imenionyesha jinsi Dar ilivyo juu. Sasa hizi projects zinazoendelea ziki isha si ndiyo itakua balaa tupui'm 100% sure this video is pissing off some kenyans....they don't like it. they would like it be removed from youtube. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tunafurah kuona pesa za jirani zinakuja nyumbani kwa wingiπππππ
Hii nchi inaelekea wapi! mbona majanga kila siku?
kuna kitu pale tazara inabidi kifanyike.....yaani "wadesign kitu chochote chenye mvuto zaidi cha kitalii
Hata mimi naliona hilo, Maana ni Gateway ya watalii wengi so wakipaweka vizuri inaweza ongea hamasa ya watalii kuongezeka.kuna kitu pale tazara inabidi kifanyike.....yaani "wadesign kitu chochote chenye mvuto zaidi cha kitalii
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan ndo nilichokuwa nawaza hiko hiko man ...kama hujawai tembea cities nyingne unaweza chukulia Dar poa ....nawaza hapa Selender bridge,BRT phase 2,3 and 4,Mbezi Luis Bus terminal,DMDP, Msimbazi Park Project ,Ubungo Interchabge,Kimara -Kibaha HighwayUnaeza uka ichukulia Dar poa kwakua unaishi hapa, ila hizo comments kwenye hiyo video imenionyesha jinsi Dar ilivyo juu. Sasa hizi projects zinazoendelea ziki isha si ndiyo itakua balaa tupu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app