Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

With this newly completed highway, watch the way kibera will grow in the next 2 yrs, it will change like Githurai, roisambu along thika road and Kariombangi along outer-ring road. And it has began

Sasa hiyo barabara itaisaidiaje Kibera! angalau mngeweka hata bus stand kwenye hiyo road. Wakazi wakibera ata chakula kina wapa tabu, then mnajega barabara karibu yao ambayo hawato itumia. Hapo ni kama kuwa chora, ndiyo maana huwa wanarusha vinyesi kwenye magari yanayo katiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachowapongeza sana ni suala la malls, hapo mpo vizuri yaani retail industry yenu iko vizuri, juzi juzi hapa nillikuwa nbo, nilifika two rivers, the hub, wesgate but things are really expensive, kwenye store ya Miniso,westgate ki lamp tu cha kawaida KSH 2100 dah! Ila na sisi tunakuja na huyu mdudu, atafunika
 
wao wanaita "flying toilets"
 
Ukweli mchungu,kwenye suala la iconic buildings,urban road infrastructures,town planning ,suburbs Nairobi na Addis wako vizuri sana,hao akina Dar ni kujitutumua na kujipiga kifua tu hakuna kitu na hata speed ya kucatch up ni ya kujikongoja tu
 
Speed ya kucatch up ni ile ya light, Nairobi should be ashamed because Addis has light rail, Dar has a Bus rapid transit system na tena sasa hivi inaanza kujengwa phase 2, JNIA terminal 3 about to open, sgr mega station, 8 lane highway to kibaha, port expansion, construction of modern bus stations, ubungo interchange halafu unambie nbo kuna project hani maana skyscrapers hazisaidii nairobians kufika kazini on time na kuongeza productivity you need things and people to move efficiently. Dar inajitahidi sana katika hilo just check this out
 
Ukweli mchungu,kwenye suala la iconic buildings,urban road infrastructures,town planning ,suburbs Nairobi na Addis wako vizuri sana,hao akina Dar ni kujitutumua na kujipiga kifua tu hakuna kitu na hata speed ya kucatch up ni ya kujikongoja tu
Mkenya anaejifanya mbongoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ badilisha id hii imefeli
 
Umeamua kuchekesha umati kwa kuleta hii renderπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ is that thika roadπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Na hii vp ???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† munajenga
 
n
Nairobi iko na the following projects that are recently completed,undergoing and up coming. Here is the list of some projects:
1.The biggest super highway than Thika road..JKIA to Limuru...undergoing
2. BRT..will be incorporated in the above highway.
3.light rail..to be completed this year
4.western bypass..undergoing
5.commuter rail network...nearing completion
6.SGR, station & dry port...completed
7.missing link roads..undergoing
bra bra bra...the list list is endless my brother.........
 
Where is the biggest super highway than thika tuoneshe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Where is BRT?? Umean thisπŸ˜‚πŸ˜‚

Where is light rail au inajengwa ikulu kwa kenyatta🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Commuter rail ndio hiii unamaanishπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwenye SGR tanzania ndio musiongee kabisa
 
Umeamua kuchekesha umati kwa kuleta hii renderπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ is that thika roadπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
View attachment 1037862
NO NO NO..hii si thika Road kaka,,inaitwa waiyaki way
hii inajengwa tu bus stops which are under design right now
 
NO NO NO..hii si thika Road kaka,,inaitwa waiyaki way

hii inajengwa tu bus stops which are under design right now
Tuoneshe BRT tuoneshe light rail tuoneshe super highway kubwa zaidi ya thika ukizipata nitagπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
NO NO NO..hii si thika Road kaka,,inaitwa waiyaki way

hii inajengwa tu bus stops which are under design right now

Under design kumbe na design itamalizika lini 2040 auπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
NO NO NO..hii si thika Road kaka,,inaitwa waiyaki way

hii inajengwa tu bus stops which are under design right now

Mulijua kujenga BRT ni kama kula githeriπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† mukaishia kupaka rangi na kupoteza pesa za tax payersπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…