Uko sahihi mkuu.. kila kampuni ya bus inabidi iwe na office a yard yake. Ubungo mambo yanafanyika kienyeji sana na hakiko user friendly, tulishapata somo. Hii design ya stand mpya ina hadhi ya kimataifa, kama airport. Hamna kupotea wala kuvutwa vutwa na madalali.Kitu kimoja cha kunote ni kuwa hiki sio kituo cha kulaza magari au kupaki basi lako zaidi ya masaa mawili huo utakua ni uchafu, mgari zaidi ya 80 yanaweza kupaki kwa mpigo yakijaza abiria. Kumbuka hii ni phase ya kwanza. Phase ya pili itahusisha ujenzi wa hotels in which wanaweza kujenga sehemu ya kulaza magari au parking ya muda mrefu kama wakiweza kuiona hiyo fursa
Uko sahihi mkuu.. kila kampuni ya bus inabidi iwe na office a yard yake. Ubungo mambo yanafanyika kienyeji sana na hakiko user friendly, tulishapata somo. Hii design ya stand mpya ina hadhi ya kimataifa, kama airport. Hamna kupotea wala kuvutwa vutwa na madalali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wanapokwenda kwa kina mungiki huwa wanapiga picha slums kwa kuwa ndio kitu cha kustaajabisha walicho nacho
Sioni tofauti ya tz na kipande hii Hong[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1037599View attachment 1037600View attachment 1037601View attachment 1037602View attachment 1037603View attachment 1037604View attachment 1037605View attachment 1037606View attachment 1037607View attachment 1037608