Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uwanja uki isha Tz itakua na 6 International airports. Level za baadhi ya nchi za Ulaya, Jirani ana viwili tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kituo naona kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Uki compare na Ubungo uko sahihi kwa maana ya ukubwa wa eneo litakalo tumika. Ila hiki kitakua cha ghorofa hapo kita ongeza nafasi na mvuto. Miaka 10 ijayo nahisi train ya umeme itakua imesogea mbali possibly kufika Rwanda na kufufuliwa kwa reli ya kwenda kaskazini nahisi idadi ya ma bus ita pungua kidogo.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 

Kitu kimoja cha kunote ni kuwa hiki sio kituo cha kulaza magari au kupaki basi lako zaidi ya masaa mawili huo utakua ni uchafu, mgari zaidi ya 80 yanaweza kupaki kwa mpigo yakijaza abiria. Kumbuka hii ni phase ya kwanza. Phase ya pili itahusisha ujenzi wa hotels in which wanaweza kujenga sehemu ya kulaza magari au parking ya muda mrefu kama wakiweza kuiona hiyo fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…