Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Sinaga muda wa kupiga picha na sitawahi post picha humu iwe ya Nairobi au Dar hilo mtafanya nyie,nitaepusha mbawa zangu Kwa hilo sitabishana na wewe,ila fahamu kuwa Dar naifahamu vizuri Sana.Wakenya wengi huwaga mnasema next week nitakua Dar, nakutupa ahadi za kutuma picha mbaya za Dar ila mkifika huwa mnakosa ubaya na kutupilia mbali camera zenu. Ila kwa case yako wewe hujafika kabisa una shobo sana ungetuma picha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupangika Kwa mji sio wingi wa plot ila ni jukumu la halimashauri husika kuweka aina ya majengo yanayo stahili kujengwa kama huwezi ukajenga nyumba kulingana na kiwango kilicho wekwa basi nunua kiwanja kwingine.Hayo ni maneno ya siasa ndugu ujenzi unafanyika Kama kawa na mavibali lengo ni kukusanya mapato via building permit fee Wala sio kudhibiti mpango mji
- Pili kasumba imejengeka kwamba viwanja vilivyopimwa bei ghali na hata kasi ya upimwajii ni slow sana
- Dom yenyew barabara ya iringa ni slums tupu na mitaa mingi tu,inatakiwa plots ziwe nyingi na watu walipe kidogo kidogo
Longo longo kibao... Dar unaifahamu kwa T.VSinaga muda wa kupiga picha na sitawahi post picha humu iwe ya Nairobi au Dar hilo mtafanya nyie,nitaepusha mbawa zangu Kwa hilo sitabishana na wewe,ila fahamu kuwa Dar naifahamu vizuri Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maadam umekiri tuna Majengo bora vingine vinafuata hata Rome haikujengwa siku mojaWhat makes a city stand out is planning,and how vibrant its street level environment is.wide sidewalks,bikelanes,cafes,cleanlines,parks etc,sio tu majengo kila mahali,dar mpo na majengo mazuri lakini planning ni very poor.
Au unazunguka dar kwenye map😂😂😂Ukitaka nikutafute sina tatizo Mimi nitakutafuta Bora unipe contacts zako na unisubiri mwezi wa tano.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila jiulize kwanza ikiwa hvyo brt itakuwa kwa wapi kwa design hyo?Kumbe mi design ya Ubungo interchange ndio hii mbona yaki zee sana,, mi nlidhani hiyo yenye nyingi nyingi, coz ukiangalia vizur msingi wake utagundua sio ile tunayoionaga kwenye clip za YouTube View attachment 1035737View attachment 1035738View attachment 1035739
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie akina nani labda wao,Mimi ni mbongo nduguWewe ndiyo unaleta siasa, daily mimi napata taharifa ya miradi ya viwanja kuisha. Iko hivi kwa kipindi hiki ukitaka plot ambayo haijapimwa ni kujitakia labda iwe kijijini ila siyo town. Kama huna taharifa nitafute, Changamoto zipo sija kataa. Kwani huko Kenya kuna mji ambao hauna squatters? navyo jua nyinyi kwenye ishu ya squatter ni kama Brazil kwenye mpira. Nyie ndiyo ma champion wa dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una kereka Sana kuona kwamba naifahamu nchi yako na wewe huijui yangu Dar Mimi ni mwenyeji Nina washikaji hapo kibao tu, nisubiri mwezi wa tano nitakua huko.
Peleka pumba huko MombasaUna kereka Sana kuona kwamba naifahamu nchi yako na wewe huijui yangu Dar Mimi ni mwenyeji Nina washikaji hapo kibao tu, nisubiri mwezi wa tano nitakua huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar Es Salaam City
Angekuja December apande train ya umeme..
Yule Youtuber wa Ghana Woda Maya atakuja Kesho Dar, ana subscriber wengi sana, unaweza kuwasiliana nae ili umweleze maeneo salama ya kuchukua video. Uganda walimtimua majuzi na kenya waliwahi kumkamata. Naelewa kuna sehemu Dar haziruhusiwi kupiga picha, asije akajipeleka sehemu jamaa wakamtimua halafu nchi yetu ikapata picha mbaya.
Mimi nikusubiri wewe!! Wewe kama ukiwa Dar toa taharifa siyo kutupiga mikwala ya kitoto. Habari za Dar utakua unahadithiwa na mtu huko Mombasa then unavaa uhusika ukija JF.Una kereka Sana kuona kwamba naifahamu nchi yako na wewe huijui yangu Dar Mimi ni mwenyeji Nina washikaji hapo kibao tu, nisubiri mwezi wa tano nitakua huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza should have been first ..sijui kwann they always dont focus much on it