Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuwa page ya 604
nimekuta page ya 721!!
du! Hizi mbio Balaa
 
Let's take baby steps.....
Kwa mfano nije kwako alafu uniambie umeua panya, je inaingia akilini kuniuliza ulipomuulia panya? Sasa utakapo niambia ulipomuulia yule panya nikabisha, hapo ndo itabidi nitoe maelezo.
Ok. Turudi kwenye kesi yetu, kama kuna mtu aliongelea Kenya airways kununua ndege cash inabidi umbane kama nilivyokubana hadi ukapata link na ishu tukamaliza...... sasa basi, Kwa vile sikuongelea ununuzi wa ndege, sina sababu ya kukesha kama ulivyokesha kutafuta link. Na kama kunasehem niliongelea ununuzi wa ndege naomba uweke hapa ilituendelee na mchakato utakaofata. Jitahidi sana usihamishe mada kama ulivyozoea ili tuweze kusonga mbele.
 
Tatizo lako unatafuta njia ya kutokea ila swali liko pale pale and wat I knew , nilijua umekuja kuokoa jahazi kwa wanjala na mm nilikua naimani utajibu swali ambalo mwenzio alikimbia,
Sasa nilijua bomu hilo la wanjala pengine wewe utalitegua kumbe kumbe maskini umekumbatia bomu limekubutua πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Na Mimi nilijua mapema kwenye swali langu ulikua hutoki kabisa nakwambia wazi ulikua hutokiοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌ οΏΌοΏΌπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Chamsingi swali langu halijajibiwa mpaka dakika hii so chamsingi kaka usiumize kichwa kujibu swali nakurahisishia kazi kua huna jibu lakijibu na hutakuanalo, short and clearοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Kama unamjadala mwengine leta tuendelee kwa hili ushafeli πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Na huwezi kujibu nilijua mbona mapemaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Haya sawa jamaa wa faculty of aviation! hehehehe Wapi kule? Moscow kwa Putin. Sina kesi na wewe! Link uliniletea na nikadhibitisha kwamba university hujawai kukanyaga. Tusubiri thread nyingine itakayo tukutanisha hehehe.
Kule Moscow si una washkaji mliosomanao faculty moja ya aviation?
 
Hii number plate ni gani? ..ACE
 
Nakwambia usibadilishe mada mm kusoma au kutosoma wewe hakuwezi kukusaidia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yangoswe mwachie ngoswe kwanza kama umeshindwa kujibu lile Bomu la wanjala bora upige kimya kwasababu yaonesha lile Bomu limekuuma sana οΏΌοΏΌοΏΌ πŸ˜›πŸ˜›
Kitu kilichonifurahisha mm kua kenya airways inunue dreamliner cash dunia isijue πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hapo ndo mimi Mimi nimechoka...... Nimewashikeni pabaya sana πŸ˜€ nilianza kupata hope ulivokuja kudaka Bomu nikajua unajua kumbe kilaza bora yule aliekimbia bomuπŸ™„πŸ™„
 
Bentley Showroam in Kenya
Wanjala, hahahahhaahahha siniliwaambia huyu lazma atudanganye yani wakiona wamezidiwa lazma utawaona wanabadilidi njia....
Uongo na sifa ndio jadi yaoοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌ πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Hydrogen saidia ndugu yakoπŸ™‚
 
Hehehe..... ushasema bomu la wanjala. Kwaiyo kama alisema wamenunua lazima a prove hakuna short cut hapa Hehehe... Unakumbuka niliyokubana povu zikakutoka ukakesha siku tatu ukitafuta link? Nae mbane hivyo hivyo. Yani usimlegezee hata kidogo, saivi najua unaexperience kutokana na nilivyokukazia! Akileta mambo ya faculty mara business mara aviation kumbe ka google, unampa live.
Anyway naamini saivi huhitaji maelekezo jichukulie kama mfano. Twende kazi!
 
Lilikua LA wanjala ukaamua kulichukua wewe ndio maana nikakuuliza unajua swali lililokua hewani heheheh kumbe Bomu mwenzako kalikwepa maksudi kabisaοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Tatizo lako ulikuja speed sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sio kila jambo unalivamia mengine unakuja kwa adabu hahahhahaaοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wewe huna chakunibana au kunifundisha
Punguza wenge kaka
Lini kenya airways wanunue dream liner dunia isijue kwa sifa mlizokua nazoοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Akili kichwani mwako.....πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Kuripukiwa na Bomu inaumaa alafu Bomu lenyewe hulijui limetokea wapiπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Unafumbia macho?! He he he.... nilishakuambia hata uifanye wimbo na uitolee CD, fact will remain kuwa fact. And you can't do anything about it hata ufumbe macho... ukifumbua unakutana nalo tena he hehe...
ebu fumba tena!
Haya, fumbua.......
Hehehe..... ushasema bomu la wanjala. Kwaiyo kama alisema wamenunua lazima a prove hakuna short cut hapa Hehehe... Unakumbuka niliyokubana povu zikakutoka ukakesha siku tatu ukitafuta link? Nae mbane hivyo hivyo. Yani usimlegezee hata kidogo, saivi najua unaexperience kutokana na nilivyokukazia! Akileta mambo ya faculty mara business mara aviation kumbe ka google, unampa live.
Anyway naamini saivi huhitaji maelekezo jichukulie kama mfano. Twende kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…