Kuna zaidi ya ile dreamliner ambayo itakuja Nov 19 ?Safii sana! safari ndo imeanza, in March terminal III is to be officially opened then India route before China n Thailand! Yajayo yanafurahisha. Naamini a new aircraft order will be announced this year!
Naamini hivyo maana kuna plan ya kuruka kwenda Europe! Dreamliner mbili zitakazokuwa zinaenda India, Thailand na China hazitoshi!
Basi tutazidi kubanwa nyongeza ya mshahara itakua hadithi utawala wa huyu ,kama dremliner lenyewe ndio $224. 5M sio mchezoNaamini hivyo maana kuna plan ya kuruka kwenda Europe! Dreamliner mbili zitakazokuwa zinaenda India, Thailand na China hazitoshi!
Anunue nyingine 10 hivi!Basi tutazidi kubanwa nyongeza ya mshahara itakua hadithi utawala wa huyu ,kama dremliner lenyewe ndio $224. 5M sio mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] aende taratibu arif sio vitaAnunue nyingine 10 hivi!
3 dreamliner, 3 A220-300, 2 B777 cargo plus 2 Bombardier Q400!
Mkwanja ndio baridi ilipo,anaweza chukua za mizigo 2 kwanza akatulia badae ndio aongeze izo zilizopo3 dreamliner, 3 A220-300, 2 B777 cargo plus 2 Bombardier Q400!
Biashara ya airline si lelemama ukiingia unalo na kama ataruka kwenda Ulaya, Air Tanzania needs around 6 long distance aircraft!Mkwanja ndio baridi ilipo,anaweza chukua za mizigo 2 kwanza akatulia badae ndio aongeze izo zilizopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa ndinda kazi yako hio bro👏👏Now it’s time to get some serious shots on this beauty
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo za nyongeza sio lazima zinunuliwe kwa Cash, kuna other options za kununua bila kukamua mfuko.Basi tutazidi kubanwa nyongeza ya mshahara itakua hadithi utawala wa huyu ,kama dremliner lenyewe ndio $224. 5M sio mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app