Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vifaranga vilikua vimenunuliwa na mtanzania akaziacha pesa Kenya Kwa hivyo aliepoteza mtaji wake ni mtanzania my friend.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndiyo uone watu walivyo serious na kazi zao. Usisahau na wale wachungaji wenu walio hisi Tz ni shamba la bibi walivyo furumushwa na ng'ombe zao kupigwa mnada. Ukweli hao wapokot mnao wapa promo wakijaribu ujinga wao kwa Tz mtarudishiwa majivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie wavuke boda ya tz,nako kuna ng'ombe za kutosha.waje tuwafundishe mahari haitolewi kwa kukabidhi ng'ombe za wizi,ila mkia wa simba wenye kuvuja damu.

kumbe sababu wana AK-47 ndio sababu wanalaza KDF na viatu.

Hii kdf, kunya drinking force ni jeshi dhaifu na ya Hovyo kabisa, wanashindwa hadi na Pokot?
 
Nimeshangaa saana alivyodai Kenya inapambana na boko haram na ISS hawa wakenya soon watasema ushindi wa Russia na Iran ni wao

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Hawa walishaolewa na waUSA so wanachukulia kila anapokwepo nao wapo thats y USA wanawapa takwimu za kuwavimbisha kichwa. Ni kama riwaya fulani tulikuwa tunaisoma o-level iliyokua inamtaja mhusika kama punda wa kijiji, mpe karoti kila mtu atampanda. Hivyo ndivyo wazungu walichokigundua kwa wakenya, I salute you mzungu na mchina. Na sisi tutapata namna tu ya kumlure mkenya tumpande kiulaini, tumeanza kwa warembo wao tushawajulia
 
Wapo uchumi wa kati alafu kuna sehemu hakuna chakula wala maji ajabu zaidi mpaka nguo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
kamata.jpg
 
Back
Top Bottom