Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwaiyo Kenya mpo Nigeria mnapambana na boko haram?

Kwaiyo pia kdf wapo Syria mnapambana na ISS?

M23 wapo wap now?

Kweli kdf ni kiboko mmeshinda Somalia,Nigeria, Syria na sasa mnaingia congo duh hongereni
Urongo huo,nyie ni weak point ,hawa tu m23 wanawafanya hamlali afu nyie pia mnaongea mbele ya wanaume? Na mngepewa boko haram,ama alshabaab au ISS ambao Kenya inawashughulikia kila siku ,mngejipamba vipi?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Lazma wakimbie hii thread👇👇👇
C365C36A-D681-4839-B0E1-09748FDE58C9.jpeg
32E6FF6F-96C4-45A6-9F25-4DB9B867CA7D.jpeg
 
Back
Top Bottom