Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio waliojenga PSPF Golden Jubilee, PSPF twin towers, PPF HQ, Viva Tower, NMB House na sasa wanakandamiza Morogoro Road , 6, 8 12 lames Highway!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hawa jamaa ni balaa, halafu ni local company. Inabidi washirikishwe kwenye mradi wa SGR wapate maujuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar port expansio👏👏👏👇👇👇👇
01C10DBB-1DA4-4921-B19A-F0BB00EC184B.jpeg
F5FB45F0-E8C8-4AE2-87AB-DE0E354A444C.jpeg
 
Kumbe ndio maana baadhi ya nchi hazifurukuti kwa marekani. Halafu nimegundua kitu takwimu za kiuchumi zote zinatolewa na marekani coz kama sio WHO au IMF utakuta ni CIA na unajua wanachokifanya? Huwezi toa takwimu mbaya kwa demu unaemgonga thats why nawaambia majirani wajiangalie vizuri kuchekelea takwimu coz zote zinatoka kwa waUSA na wataendelea kuwapa hopes mpaka wakifika mahali wakajikuta maji shingoni kutakua kushakucha. Ni tahadhari tu, sio lazima wakubali
 
Back
Top Bottom