Mzee hii picha umeipiga kwa kutumia mbinu za ki medaniBeautiful Dodoma TzView attachment 1018885
ki sniperπ
Wapi hapo!?Beautiful Dodoma TzView attachment 1018885
Sasa kama Dar es Salaam ni Kampuni, hii ndio inapaswa kua logo. Kazi nzuri sana Mkuu.
Ni noma mkuu yaani muonekano wazidi kubadilika......day afta day....
Kiingereza ndio chakula na elimu yao jamani wanasikitisha sanaUtaskia wanakwambia MLDCππππ
Bila shaka ndio hao