kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
hii picha bila shaka umeipiga mwenyewe. hongera....Jamani namimi Ka like basi nawapaga nyie tu kha!Nimependa Usafi chiniView attachment 1007104
Sent using Jamii Forums mobile app






hii picha bila shaka umeipiga mwenyewe. hongera....Jamani namimi Ka like basi nawapaga nyie tu kha!Nimependa Usafi chiniView attachment 1007104
Sent using Jamii Forums mobile app






Yeah, the as the second phase itahusisha kuanzia Kawawa Kusini i.e from Magomeni mataa kuja Ilala Boma kukatiza Karume hadi mataa ya Chang`ombe ambako tunaelezwa watajenga flyover na baadae barabara kupasua Keko yote mpk roundabout ya Chang`ombe rd na Kilwa road
Aisee ni hatari sana patanoga mbayaYeah, the as the second phase itahusisha kuanzia Kawawa Kusini i.e from Magomeni mataa kuja Ilala Boma kukatiza Karume hadi mataa ya Chang`ombe ambako tunaelezwa watajenga flyover na baadae barabara kupasua Keko yote mpk roundabout ya Chang`ombe rd na Kilwa road
af hapo inakutana na line ya BRT kutoka town
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani namimi Ka like basi nawapaga nyie tu kha!Nimependa Usafi chiniView attachment 1007104
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lakini hii kitu copy and paste authetic bongo fleva hakuna genge hapo.
Beautiful city coming soon mega city love or hate heshima itakuja tu.
Nimependa hii picha natamani Nipazungukie hapo ni jipe ma photo
Viva TZ
Nimependa hii picha natamani Nipazungukie hapo ni jipe ma photo
Ndiyo anawadaka huko kenyaMkuu lakini hii kitu copy and paste authetic bongo fleva hakuna genge hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachowaumiza kichwa wanadhani bado ni ile tz ya 90s😝😝😝Kuna wale nata bukini walikuwa wakionuesha zao wakidhani huku hazipo.
Haya ma bus yatatumika sana.. mtu unatoka Arusha au Bukoba unaelekea China au vice versa lazima uame terminal, from 2 to 3. Halafu terminal 3 ni kubwa sana kutembea kwa miguu ni kama unaimaliza upper hill na westland Nairobi
You must be something else,who told you that Kenya has one genre of music?.Mkuu lakini hii kitu copy and paste authetic bongo fleva hakuna genge hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu msemo wa tz ya 90s utazikwa nao? Maana sio ukijifunza msemo mwingine.Kinachowaumiza kichwa wanadhani bado ni ile tz ya 90s![]()