Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

waingereza huwa wanasema "numbers don't lie".

page ya air tanzania kule instagram ndani ya miezi minne tu tayari inaizidi page ya KQ kwa idadi ya followers.

kwa watu ambao ni business minded katika masuala ya digital marketing, hii ina maana kubwa sana.

bado katika ukurasa wa twitter na facebook . kadili siku zinavyoenda, air tanzania itakuwa na followers wengi kwenye digital platforms kuzidi kenya airways.

tutaelewana tu...[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…