Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakika hapo umenena, kweli pongezi ziwaendee, uzuri wa Tanzania hua haikurupuki, tulifikia hatua ya kutengwa EAC lakini maamuzi yetu mpaka leo yana mantiki ya hali ya juu.
sasa wenyewe ndio wapi zama za kutafuta ushawishi na kujenga umoja wa kitaifa

al shabab anawauwa china nae anakatalia mkopo

na palipo na tishio la ugaidi no utalii na uwekezaji unaweza kupungua


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachosema ni kweli ila kwa muda huu ndugu zetu hawa wanapitia wakati mgumu tuuungane nao na baada ya majanga haya labda watakuja jifunza kitu baadaye
 
hii thread ingefutwa tu naiona ya kitoto, mnapimanisha maghorofa wakati kila mji yapo na wala si kitu cha kushtusha siku hizi
wewe sio wa kwanza kuja na maoni kama hayo, thread ilianzishwa mwaka 2017, mpaka sasa ina miaka mitatu na mpaka sasa imetembelewa mara milioni nne(4 million views).

washatokea watz na wakenya wengi wenye maoni kama hayo, lakini moderator kwa kutumia hekima yake, ameyapuuza.

nina hakika, maoni yako pia yatapuuzwa.


haya rudi jukwaa la mahusiano ukaendelee kujadili kuhusu masuala ya mapenzi.

karibu tena.
 
Sasa Mtu mwenyewe kutwa kwenye mada za Umalaya unategemea nn
Umemuweza
 
mmarekani alivyo mnafiki, alitoa travel warning kwa tanzania akasahau kutoa travel warning kwa kenya. matokeo yake leo imechapwa na terrorists.
MK254 alifurahi sana hii siku.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
 
upanuzi wa kambi ya jeshi la marekani nchini kenya, haujasaidia kuzuia kenya isipate kichapo kitakatifu toka kwa magaidi.
1academ
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Eti mpuuzi mmoja ananiijia hadi Pm
Kilicho mkuta hana hamu
Walijifanya kushoboka Mmarekani amlinde Nyani mkenya kwa lipi
sema tu vile wengine tunaongozwa sana na hekima... angekuwa mtu mwingine angemu-expose huyo aliyekujia pm kujadili upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…