[emoji122][emoji122][emoji106]Mtazamo Wangu kwa Swala la Nairobi na Dar
Kwa sababu nimekaa Nairobi kwa muda wa mwaka mmoja na pia Dar, kuna kitu nimegundua. Ni ngumu kufananisha aya majiji mawili.
Dar kwa mtazamo wangu ina urban planning nzuri kuliko Nairobi. Kwa mfano Ubungo mahali ilipo na CBD inaipa dar nafasi yakujitanua na pia ni kiashiria Dar ina nafasi kubwa (approx 10km from Ubungo to CBD)
Nairobi kutoka Machakos Country Bus( Nairobi's main bus terminal) kwenda CBD ni approx 4km. Kwa hili tu linaonesha Nairobi ni ndogo.
Advantage ya Nairobi kwa Dar ni popularity yake na sifa yake ya kuwa mji mkubwa zamani( Nairobi ni headquarter ya mashirika makubwa duniani na Afrika)
Kwa sasa naomba nirudie, kwa mtazamo wangu picha hazitaweza ku-compare haya majiji mawili ila kwa kifupi. Kuna uniqueness ya Nairobi na pia kuna Uniqueness ya Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kq haimiliki ndege hata moja ndege zote ni leasing deal kwa taarifa yako na ndio sababu kubwa ya loss inayowatesa leo miaka6😂😂😂😂👇👇👇👇👇Hivyo ni vitu vya kawaida tu,KQ ziko ngapi ? Tena Boeing na hatupigii watu kelele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magari ninayo na sio mawili nimeuliza investment ambayo umefanya huu mwaka sio kupost gari,unaweza ukawa na gari na huna any tangible investment.
Sent using Jamii Forums mobile app
You must be a fool of the highest order, if I may ask what is your company's turnover? If at all you have any. I don't deal with idiots.mtu gan huyoo anamiliki magari wawili na nyumba kubwa kama hio na asiwe na investment??? heri unyamaze ufiche ujinga wako!!
Huyo bwege kweli..Mwambie aonyesha ya kwake...😅😅mtu gan huyoo anamiliki magari wawili na nyumba kubwa kama hio na asiwe na investment??? heri unyamaze ufiche ujinga wako!!
You think to make money you need to have the so called company...That can only just be a name....Wewe huna kitu jobless...Am sure hata simu unatumia itakuwa ni kati ya hizi(Techno/Infinix/Itel)You must be a fool of the highest order, if I may ask what is your company's turnover? If at all you have any. I don't deal with idiots.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kamsaidie mjomba wako..He is at work...👇👇👇You must be a fool of the highest order, if I may ask what is your company's turnover? If at all you have any. I don't deal with idiots.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kazi yako ni hii....??👇👇👇Hahaha! Naona umekereka Sana na Hilo neno tangible investment? Kojoa kalale maana hata ukifa leo huna will itakayosomwa ,kazi yako ni kukausha pweza pale kivukoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ungeficha hata namba basi....leo nimejua ID unayotumia JF....ile brand new Toyota Hilux iko site?Mimi utajili ndio nao ufikii hata robo...Naanza na hii😅😅😅👇👇👇View attachment 990476
Mind your business.i don’t have to argue with genius people like you!
unatokea Malindi ila now unakaa Nairobi, right??