Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haki sijapata kuona watu wajinga kama wakenya, imebaki tu kulalamika pembeni ikitazama mwenzao akipata kichapo toka kwa wachina. ndio maana mchina aliwaita monkeys.

ujinga kama huo ulikuwa unatokea sana mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati wachina wanajenga uwanja wa taifa.

kilichokuja kuwapata wachina toka kwa vijana vibarua waliokuwa wanajenga uwanja ule kiliacha legacy. kuna chalii mmoja alitumia chepeo kumtandika nalo mchina kichwani, alivuja damu nyingi sana, akafa hapohapo.

halafu walivyo wajinga, utashangaa wanahamishia vita yao twitter kwa kurusha maneno ya kuwa mock wachina wakati physical battle wameshindwa. jinga sana wakenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…