Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,768
See the contrast on Jeff's pictures Nairobi-Malindi.nipo safarini katika mikoa ya nyanda za juu kusini mwa tanzania(tanzania's southern highlands zone).
najua wakenya wanafatilia kimyakimya kila tunacho-post, nataka kuwaonyesha uzuri wa kiasili wa tanzania na ubora wa roads network.
umbali wa kutoka dar es salaam kwenda mbeya kwa gari ni kilomita 813.1. na umbali wa kutoka dar es salaam to mbeya to tunduma jirani na nchi ya zambia ni kilomita 915.7.
kilomita zote hizo zipo connected na barabara ya lami(paved road). hiyo ni zaidi ya umbali wa kutoka kisumu to nairobi to mombasa(831.6 kilomita).
here are my roadtrip photos. enjoy
photos credit: kadoda11
View attachment 981838View attachment 981839View attachment 981840View attachment 981841View attachment 981843View attachment 981844View attachment 981846View attachment 981847View attachment 981848View attachment 981849View attachment 981851
Noma sana wauwe....[emoji122][emoji122][emoji122]nipo safarini katika mikoa ya nyanda za juu kusini mwa tanzania(tanzania's southern highlands zone).
najua wakenya wanafatilia kimyakimya kila tunacho-post, nataka kuwaonyesha uzuri wa kiasili wa tanzania na ubora wa roads network.
umbali wa kutoka dar es salaam kwenda mbeya kwa gari ni kilomita 813.1. na umbali wa kutoka dar es salaam to mbeya to tunduma jirani na nchi ya zambia ni kilomita 915.7.
kilomita zote hizo zipo connected na barabara ya lami(paved road). hiyo ni zaidi ya umbali wa kutoka kisumu to nairobi to mombasa(831.6 kilomita).
here are my roadtrip photos. enjoy
photos credit: kadoda11
View attachment 981838View attachment 981839View attachment 981840View attachment 981841View attachment 981843View attachment 981844View attachment 981846View attachment 981847View attachment 981848View attachment 981849View attachment 981851
Na bado wataelewa tu......Dar ndio sehemu pekee Africa yenye utaratibu mzuri wa usafiri karne hii ya 21, miji yote iliyobakia ipo karne ya 20:
View attachment 981881View attachment 981882View attachment 981883View attachment 981884
[emoji1][emoji1][emoji1] yaani umechinja kabisa na kweli kwa jinsi walivyo wehu watasema hivyo hivyo.....they will tell you their musicians are building houses in ushago. [emoji16][emoji16][emoji16]
Wasanii wa Kenya walimkosea nini Mungu?
Kaiwekea pin kabisa!! View attachment 982055View attachment 982056
Ulikuwa wapi mkuundugu zangu i’m back to Tanzania, mapambano yaendelee [emoji16][emoji16]
Ulikuwa wapi mkuu
nipo safarini katika mikoa ya nyanda za juu kusini mwa tanzania(tanzania's southern highlands zone).
najua wakenya wanafatilia kimyakimya kila tunacho-post, nataka kuwaonyesha uzuri wa kiasili wa tanzania na ubora wa roads network.
umbali wa kutoka dar es salaam kwenda mbeya kwa gari ni kilomita 813.1. na umbali wa kutoka dar es salaam to mbeya to tunduma jirani na nchi ya zambia ni kilomita 915.7.
kilomita zote hizo zipo connected na barabara ya lami(paved road). hiyo ni zaidi ya umbali wa kutoka kisumu to nairobi to mombasa(831.6 kilomita).
here are my roadtrip photos. enjoy
photos credit: kadoda11
View attachment 981838View attachment 981839View attachment 981840View attachment 981841View attachment 981843View attachment 981844View attachment 981846View attachment 981847View attachment 981848View attachment 981849View attachment 981851
God has a good plan for tanzania...you can notice even some people from the country of our competitors/enemies are unintentionally doing a great job of promoting tanzania.Kaiwekea pin kabisa!! View attachment 982055View attachment 982056
hatari sana bro, kwa wale madreve huu mkeka unakufanya mda wote unyoshe mguu...babkubwa sana.Mkuu nimekamua huo mkeka last week, nimepenya hadi chunya aisee, Kote ni Paved yaani mkeka wa maana, tena hayo maeneo zingatia tu vibao vya 50, kwengineko maliza dashboard,
Wakati narudi juzi toka Iringa hadi mikumi niliongozana na Probox ya mkenya mmoja akasifia sana huo mkeka, alikuwa ametokea Zambia na alinambia wakati anaenda alikatiza Arusha- Dodoma-Iringa, Mbeya, jamaa ana probox ila tulikula sahani moja..
Aisee ni kati ya Barabara za Viwabgo vya juu sana halafu ni over 800km,
Nimekula christmass nyanda za Juu kusini mwa Tz nimecome back kukamua mwaka mpya mjini,
Duuh!! Uki kimbia nchale uki chimama nchale.. Mungiki hapa hawawezi rudiwoow!![emoji7][emoji7]View attachment 982068
Hahaha nimeishia kuchekathey will tell you their musicians are building houses in ushago. [emoji16][emoji16][emoji16]