Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu eti majirani wanajiaminisha eti huu uzi utakufa soon,watajua hawajui..!

Sent using Jamii Forums mobile app
we told them that if they will boycott from participating in the thread, we will use it as platform to showcase the good side of tanzania. watajua hawajui... [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ila wakenya ndio watu wajinga sijapata kuona
yaani Thread hii inawaumiza vibaya
kutwa kuanzisha viji thread kuipondea hii kitu
wewe umesusa kaa kimya wacha wanaume wapige Kazi!
Niwafahamishe tu Hii thread haimtegemei Nyang'au yeyote toka Kunya land
Alie anzisha ni mtanzania
Na tutakao amua isiendelee ni Watanzania
nyie ni Vibendera tu fuata upepo
Mtaiona leo kesho mpaka 2025
Mmesusa ikiwa na views 3.4ml
Sasa tupo kwenye 3.9ml
Na punde inaingia kwnye 4m kisha 10ml
Endeleen kukodoa mimacho humu kama panya buku kitu kinasonga
 
Haha ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nipo safarini katika mikoa ya nyanda za juu kusini mwa tanzania(tanzania's southern highlands zone).

najua wakenya wanafatilia kimyakimya kila tunacho-post, nataka kuwaonyesha uzuri wa kiasili wa tanzania na ubora wa roads network.

umbali wa kutoka dar es salaam kwenda mbeya kwa gari ni kilomita 813.1. na umbali wa kutoka dar es salaam to mbeya to tunduma jirani na nchi ya zambia ni kilomita 915.7.

kilomita zote hizo zipo connected na barabara ya lami(paved road). hiyo ni zaidi ya umbali wa kutoka kisumu to nairobi to mombasa(831.6 kilomita).

here are my roadtrip photos. enjoy
photos credit: kadoda11
 
Kwenye barabara bado wapo na Historia ya 1970 wakidhani ndio Tanzania hii ya 2018!!
Wataelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…