Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika marais walioua uchumi wa kenya ni kenyatta amemaliza kabisa hio nchi anapoteza pesa nyingi sana kuzunguka duniani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Labda umsaidie hiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ MK254 πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kokote uliko salamu na harufu ya white elephant ikufikie



Mwambieni mchina kua muna GDP kubwa sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Deni pekee kwenye GDP ni 62%πŸ˜†πŸ˜†

 
Stiglers gorge imewakimbiza wakenya alaf mbaya waliposkia ni pesa za maguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wameshangaa kuskia magu katoa 3b usd for stiglers gorge alaf waliposkia na phase one SGR 1.2b usd imetolewa na tanzani raha zimewaisha kabisaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Waache wao waendelee kukopa
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ndii akiingia madarakani tutakua tunamkopesha hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…