President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,606
- 94,188
Huu utani wa ngumi.let's crack some jokes kidogo.[emoji16][emoji16][emoji16]
masikini diamond platnumz, relationship yake na haka kademu ka kikenya haijafikisha hata one month, mikosi imeanza kumuandama.
serikali ya tz imemzuia kutumbuiza ndani na nje ya tz.
naanza kuamini kauli za wazazi wangu they use to tell me when i was in my 20s.
walikuwa wananiambia niwe makini sana katika kuchagua msichana wa kudate naye, kwasababu wasichana wengine wana laana za koo zao zinazokaribisha umasikini.
huyu sio mwanamke wa kudate naye na kufikiria kuanzisha family. ukiwa naye kwenye mahusiano lazima utaandamwa na mikosi.
kama una ajira, basi out of nowhere unaweza ukapewa barua ya kuachishwa kazi.kama una business yako, inaweza kufa ghafla na ukafilisika kabisa.
View attachment 972416
hats off bro.Went for a photowalk with my Asian friends ( They Donβt drink and donβt eat beef ) Enjoyed this walk because after we finished to shoot each item , Mimi nilikua naachiwa kuangamiza kila kitu bila kubakisha [emoji1787]. I wish to have more photowalks of this kind in the whole 2019[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mixed photos taken with a phone and Camera ( spot photo quality)
View attachment 972358
View attachment 972359
View attachment 972360
View attachment 972361
View attachment 972362
View attachment 972363
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuosha Rungu ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nona Times square vibe inakuja Dar
Mipango ZaidiAll BRT stations in Dar now making money with those LEDs, Plus Those ads on the Bus body, And inside the station . Fursa kibao, Changanya na Hela za Tickets .π€£hela ndefu sana .
Nona Times square vibe inakuja Dar
Huu ni mwanzo tu..... the worst is yet to come, they should just brace for itwatajua hawajui.. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 972470View attachment 972471
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asome then atokomee kizani, asituletee mapovu hatuna nguo chafuwatajua hawajui.. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 972470View attachment 972471
MK254 nimeona sehemu unauliza source ya hii habari.
well, source ni daily nation(one of the reputable news paper in kenya).
sihitaji uje ukomenti.nataka upate notification then usome kimyakimya halafu utafakari.
Na inenda sambamba na ile project ya tram ndani ya dodoma tayar iko under the carpetEbanee hiyo Dom si itakua balaa!! hiyo train ya umeme ikianza tu trip tu Dom itakua hamna kurudi nyuma.. Dom ita ipiku Nai nakua jiji namba mbili East Africa.
πππππ neno lililonifurahisha zaidi ni white elephantππππwatajua hawajui.. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 972470View attachment 972471
MK254 nimeona sehemu unauliza source ya hii habari.
well, source ni daily nation(one of the reputable news paper in kenya).
sihitaji uje ukomenti.nataka upate notification then usome kimyakimya halafu utafakari.
Hiyo naisikia sikia.. chuma kikihamia huko ndiyo balaa juu ya balaa. Magu ni bingwa kwenye sekta ya ujenzi nazani dunia nzima hamna kama yeye, ila Uhuru ni bingwa wa kupiga pesa, ameikamua Kenya vilivyo by the time anasepa kenya itakua jimbo la China.Na inenda sambamba na ile project ya tram ndani ya dodoma tayar iko under the carpet