ππππ Wanavyoona kila siku tunaweka projects za billions of dollars hawaamini, wanajiuliza tunawezaje wakati wao mradi wa mwisho waoujua ni SGR ya kitapeli ambayo mitungi yake ni ya chang'aaMadeni madeni πππππππππππππ okoeni ndugu zetu ππππππππππππππ loan is loan and law is law
RIP mombasa port
Huyu baba Mungu ampe uhai tu maana hii misumari anayopigiliaππππ Wanavyoona kila siku tunaweka projects za billions of dollars hawaamini, wanajiuliza tunawezaje wakati wao mradi wa mwisho waoujua ni SGR ya kitapeli ambayo mitungi yake ni ya chang'aa
Sisi ndani ya wiki tumeweka miradi ya kufa mtu ukianza na stieglers, hii 12 lanes, bado kesho Salander, Kesho kutwa ni kupokea Airbus zetu na bado ratiba inaendelea ππππ
Wao wanaziita flyover sisi tunaziita bridges
πππ Hicho ndio kinawafanya maisha yao hapa JF yawe ya mashaka kama ya digidigiWao wanaziita flyover sisi tunaziita bridges
Haha in reality ni lami juu ya matofaliWao wanaziita flyover sisi tunaziita bridges
Madeni madeni πππππππππππππ okoeni ndugu zetu ππππππππππππππ loan is loan and law is law
RIP mombasa port
ππππππ Hicho ndio kinawafanya maisha yao hapa JF yawe ya mashaka kama ya digidigi
π€£π€£π€£Haha in reality ni lami juu ya matofali
Kumbe wafadhili walitaka kutoa mkopo wa pesa ya 4 lanes! Walivyo sepa Magu na Tanroad wakabadili gia angani nakutoa kitu cha uhakika zaidi kwa kutumia pesa za ndani. Huyu Estim akimaliza huu mradi vizuri sito shangaa aki anza kushinda tender za kimataifa na fly over nyingine za hapa mjini itabidi apewe yeye kwa bei ya kawaida tu ila vitu vya uhakika kabisa.
Kumbe wafadhili walitaka kutoa mkopo wa pesa ya 4 lanes! Walivyo sepa Magu na Tanroad wakabadili gia angani nakutoa kitu cha uhakika zaidi kwa kutumia pesa za ndani. Huyu Estim akimaliza huu mradi vizuri sito shangaa aki anza kushinda tender za kimataifa na fly over nyingine za hapa mjini itabidi apewe yeye kwa bei ya kawaida tu ila vitu vya uhakika kabisa.
Alafu taarifa za kweli nikuwa Exim Bank of China has stopped lending Africa due to the slow down of the economy in Africa....acha wakome kwanza
Nasikia ata barabara za kuzunguka stand ya Makumbusho ni vizuri kwa taifa mkiwa na wakandarasi wakubwa ata bei ya ujenzi inakuwa siyo kubwa. Ata wa Morocco na ule uwanja wa Dom Magu awape kazi hawa Estim kwa sababu sioni kama Morocco wataweza kujenga uwanja kama nilivyo uona kwenye mchoro wakati kwao viwanja na wao ni tia maji tia maji.PPF HQ, PSP zote, Viva Tower , NHC Seven eleven , NHC Morocco square na nyingine nyingi ni Estim Construction. Anatoa vitu matata sana .
Hivi the real owners wa hii kampuni ni kina naniPPF HQ, PSP zote, Viva Tower , NHC Seven eleven , NHC Morocco square na nyingine nyingi ni Estim Construction. Anatoa vitu matata sana .
I think Patel and Group..Wamiliki wa viwanda vya Kiboko na Sayona..Hivi the real owners wa hii kampuni ni kina nani
Sana sana hawa wakenya ndio wanaharibia nchi zingineAlafu taarifa za kweli nikuwa Exim Bank of China has stopped lending Africa due to the slow down of the economy in Africa....
Ni kampuni ya tanzania inamilikiwa na wazawaHivi the real owners wa hii kampuni ni kina nani
Morocco ndoanatoa pesa alafu umpangie tena mashariti..!!Nasikia ata barabara za kuzunguka stand ya Makumbusho ni vizuri kwa taifa mkiwa na wakandarasi wakubwa ata bei ya ujenzi inakuwa siyo kubwa. Ata wa Morocco na ule uwanja wa Dom Magu awape kazi hawa Estim kwa sababu sioni kama Morocco wataweza kujenga uwanja kama nilivyo uona kwenye mchoro wakati kwao viwanja na wao ni tia maji tia maji.
I wish watoe kweli, itakua jambo zuri sana. Mimi naongea incase akashindwa kutoa au akatoa kwa masharti yasiyo rafiki kama kiwanja kiwe na capacity ndogo n.k.Morocco ndoanatoa pesa alafu umpangie tena mashariti..!!