Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi 1980 Vs Dar 2018 December
 
Hiyo ni CBD pekee na tena ni picha ya kitambo sana.
 
Kwa sasa sina muda nitafute baadae nina kazi nyingi kwa sasa zinanisubiri[emoji122][emoji122][emoji122]
Hahaha acha kuharibu jina ya kazi bana, kazi gani inakungoja? Ya kwenda NTV twitter a/c ama ya akina Ndii, Citizen, Mutai, Alai, KTN? Ama ya kukesha JF usiku na mchana?
 
Hahaha acha kuharibu jina ya kazi bana, kazi gani inakungoja? Ya kwenda NTV twitter a/c ama ya akina Ndii, Citizen, Mutai, Alai, KTN? Ama ya kukesha JF usiku na mchana?

Hahaha inakuuma sana mm kuwaumbua humu ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf unashangaa jamaa anaishi vp au sio unataka kunipa kazi
 
Hahaha inakuuma sana mm kuwaumbua humu ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf unashangaa jamaa anaishi vp au sio unataka kunipa kazi
The way you reason tells it all, you are still staying with your parents if I'm not wrong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…