Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

THE LOOSER IS : I CHOO GIRL ..Translation I toilet girl..
Good night team following
Leo najua utalala kwa hasira sana but please take shower najua mwili umechemka sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
What a Moment,
The Beautiful Tanzanian Model, Flaviana Matata and Pharell Williams in Photo
 
Kwa hiyo sisi ndo hatuna malls?
Shida za Wabongo ni ubishi. Sisi Kama Wakenya tunawasaidia kuwapa upeo wa jinsi Miji inastahili kuwa. Sisi wenyewa hatujafika lakini tuko mbele yenu. Hivi mngesikiza kisha mpeleke uzushi kwa serikali yenu ilifanye mambo kama Kenya mngepiga hatua kutoka LDC. LAKINI SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA, WALA HALINA KAFARA.

MFANO, TAZAMA JIJI LA NAIROBI LILIVYO PANGWA, JE DAR IS SLUM KUNA SEHEMU ILIYOPANGIKA HIVI!? ANGALIA STREETS.
 
Kupangwa tu nilidhan mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…