Wakenya wasepa na sneakers za Desiigner

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Rapper kutoka pande za states mwenye hitsong ya 'Panda' hakuamini kilichomtokea juzi kwenye stage wakati anapiga show baada ya 'makonki' wa Kenya kusepa na raba zake na soksi nakumuacha mchizi akiwa amefura kwa hasira. Shkamoo wakenya....
 
Wakaruka hadi na soksi...
CYMERA_20181210_124452.jpeg
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom