Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unaniletea mambo ya plan kumbe ni plan[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Below poverty line kenya ni 46% tanzania ni 23% hio good life inakuja wapi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzo hii ndio huaga inakuchoma sana...hamtoweza...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unemployment Tanzania 2%hhhhh!!
 
Ubinafsi na ukabila ni mambo amabyo yapo damuni kwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vp kuhusu vijana waufipa...najuwa wakiingi humu ndani mnaumbuliwa mpka mapovu..hhhh!!

Yani sijaona swala la nchi nzima alafu bado watu wako makundi mawili...nchi yenu inashida kwel...
 
Unakuja kujisifia ujinga hapa...unafkiria sonko amesaidia wangapi
haki wewe ni mjinga...sonko ni artist?. jinga kabisa wewe.

btw, politicians nao wa kujisifia?... unajua ni kiasi gani cha pesa ya public wanaiba serikalini?
 
Unanilalamikia mm au link niliokupa???[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unemployment rate2%yani mpka machinga wame ajiriwa na serikali...hebu nipe source moja nikupige na km tatu hv...always in denial[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sonko amesaidia nn zaidi ya kuwatesa alivopiga ban matatu CBD nzima ilinuka jasho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu jaribu u record video utume mtandaoni ukiitisha msaada kwake..uone km hatokusaidia..[emoji14] [emoji14]
 
haki wewe ni mjinga...sonko ni artist?. jinga kabisa wewe.

btw, politicians nao wa kujisifia?... unajua ni kiasi gani cha pesa ya public wanaiba serikalini?
Swali uliuliza km ni celebrity gani..sasa nikuulize mi na wewe mjinga ni nani..au bado uko kw denial
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…