Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafuta kamba ujinyonge buda hautawai win argument na owongo...yani leo umeshindwa hadi unainsist kwa uwongo
 
Westland peke yake kwa hii picha inatoshana na Dar slum yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..... Nairobi iko ligi soo kweli
 
Wanyooshe hao. Kila siku ni kutukana wengine kua hawajasoma na ilhali hawajui hata kusoma picha, wao nikung'ang'ania vipicha wanavovijua wao
 
Wanyooshe hao. Kila siku ni kutukana wengine kua hawajasoma na ilhali hawajui hata kusoma picha, wao nikung'ang'ania vipicha wanavovijua wao
Yani hawa ni wajinga picha inapigwa umbali mrefu wanakwambia slum yaki kwa vile wao wamezoea kibera wanahisi kila sehemu kuna kibera😂😂😂😂😂
 
Yani hawa ni wajinga picha inapigwa umbali mrefu wanakwambia slum yaki kwa vile wao wamezoea kibera wanahisi kila sehemu kuna kibera[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20km from cbd [emoji1787][emoji1787]
 
In fact Old cbd ina buildings tatu pekee kwa..... Anniversary towers,view park towers na Nyayo house tower.......westy nayo imepigwa kwanzia delta towers hadi kwenye avic iko na bado haija cover upande church road kwenye le'mac,sanlaam,nova,Abc na zingine ziko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…