Ni kweli kabisa na kwa hiko kipindi hakika hawa hatuto debate nao tena tutaachana nao kwani tutakuwa level ya juu,,,waamie kwenye battle na burundi....tushawaacha hawasiku hii thread ikifungwa wakenya watafanya sherehe. wamekuwa wakiomba hilo jambo mwaka mzima huu. halafu moderator kawapuuza. [emoji23][emoji23]
sisi kwa upande wetu tunataka hii thread iendelee kutrend mpaka 2025. hopefully itakuwa hivyo, la muhimu ni kuomba uhai tu.
Nachekaga awa jamaa wanapataje muda was kupika dataOgopa sana wakenya kwa kupika data ila wakat huu hata upike data iungue bado ataumbuka tuπππππ
Ukipata unitagNgoja nikutafutie picha iliyo clear hivyo vibanda vyote vipo....
Wacha story za 1970...colourless picture enzi hizo bado kulikuwa na local camera h kwa huu ukanda wetu
Labda unijuze ndani ya hiyo miaka 1970&1980 mpiga picha alitumia type gani ya camera,alikuwa angle gani, aliitwa nani,ulizaliwa hiyo miaka 1970 &1980..?
miradi yote wanayo tutambia humu ni ile iliyofanywa na mzee mwai kibaki miaka ya 2008-2012. mathalan, thika highway na flyovers.Hadi huruma kila siku wanachapwa na vipya tu. Hapo wanaombea nai yote ijengwe ma flaiova ili waje waringishie humu
Sema sina mda wakupoteza ......kwani ile ndiyo picha halisi ya 2018Ukipata unitag
Hapa NBO tunapambana kuzuia matatu yasiingie CBD wakati hakuna miundombinu mbadala...huwezi kunieleza kua elimu ya Kenya ni bora nikakuelewawaisome hii kwa utulivu.
View attachment 956677
Wengi wao hawana kazi yani unemployment rate kenya ni kubwa zaidi africa 40%Nachekaga awa jamaa wanapataje muda was kupika data
wanaenda vyuo vikuu kusomea ujinga. [emoji23]Hapa NBO tunapambana kuzuia matatu yasiingie CBD wakati hakuna miundombinu mbadala...huwezi kunieleza kua elimu ya Kenya ni bora nikakuelewa
Dar inapambana kujinasua na aibu ndogo ndogo, hapa brt pale commuter train electrified,ukigusa kule central corridor sgr. ..wakenya wanajenga malls Na viservant kota basi wanajiona kwao London tayarwanaenda vyuo vikuu kusomea ujinga. [emoji23]
[emoji1][emoji1]ni wajinga wakutupwaDar inapambana kujinasua na aibu ndogo ndogo, hapa brt pale commuter train electrified,ukigusa kule central corridor sgr. ..wakenya wanajenga malls Na viservant kota basi wanajiona kwao London tayar
Hebu nasie wa Zakh Mwaisome hii kwa utulivu.
View attachment 956677
Hii mbona Pasua kichwa
Kufika 2021 Dar itakua na fly overs zaidi ya 7, Kweli kutangulia siyo kufika.waisome hii kwa utulivu.
View attachment 956677
umeonaee.... ni zamu ya watu wa mbagara kufurahia usafiri wa kisasa.Hebu nasie wa Zakh M
tupate raha
Ukae ukifaham kwamba highway inayojengwa kutoka kimara hadi kibaha inaflyover 2,weka ubungo interchange,kilwa road weka flyover mbili alafu tupia na mfugale flyover...Kufika 2021 Dar itakua na fly overs zaidi ya 7, Kweli kutangulia siyo kufika.