Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[/QUOTE]Na hapo ni pembezoni mwa mji
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]whaaat nilijua 1950 kumbe 70 ..je vipi kuhusu hapa NAIROBI
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 955653
Unahangaika. Kumbe hujifanya na hujui Nairobi. Unatamani ifanane na Dar is Slum.

Meanwhile, when you tell Nairobians no matatus in town, they come with their cars
 
Unahangaika. Kumbe hujifanya na hujui Nairobi. Unatamani ifanane na Dar is Slum.

Meanwhile, when you tell Nairobians no matatus in town, they come with their cars
View attachment 955659
Hapo chaajabu ni kipi....[emoji1][emoji1][emoji1]usinichekeshe mzee ojwani halafu hilo daraja vipi mbona nu chafu na ni chakavu...au ndiyo mlijenga 1970 % 1980[emoji1]
 
Kuna wakenya wameanza kunichukia ghafla....jamani msinichukie haya ni mambo yakawaida tu nawapenda sana...

Lakini msiache kupost thika high way na mombasa road bila kusahau traffic Jamz na peoples jamz za hapo nairobi[emoji1][emoji1][emoji1]


DAR CITY[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] fire
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sometimes hadi naonaga aibu mimi we ukija aisee maana unawaweza hadi wanarudi kujipanga upya PM[/QUOTE][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…