Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni Nairobi na wala sio hako katown kenu......ndio hiyo execution inaendelea na washaweka render kwa project ya 88 NairobiView attachment 953335View attachment 953337

Hata pinnacle na montave zilikua hvo hvo mulibandika mabango leo zikwapi??? Pinnacle imebakia shimo la mavi ya binaadamu, ndio maana nakwambi hio bado ni renderπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Hata pinnacle na montave zilikua hvo hvo mulibandika mabango leo zikwapi??? Pinnacle imebakia shimo la mavi ya binaadamu, ndio maana nakwambi hio bado ni render[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Wewe Kula nyingine wacha utoto
 
Thanks for renders hehehhe kwa renders tu hamujambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoma imekua ngumu kila project mukitaka kuanza pesa hakuna[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siku Dar slum itapata tower proposed kuanzia sasa hadi 2030 unitag
 
Watu wanasema tower kama hii ni twin tower [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ikifika hapo sisi nadhani tutakua na zaidi ya fifty kama hizo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Siku Dar slum itapata tower proposed kuanzia sasa hadi 2030 unitag
Ukiwa na proposed lazma uwe na pesa ya kujenga vinginevo utaishia kula ugali na picha ya samakiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiwa na proposed lazma uwe na pesa ya kujenga vinginevo utaishia kula ugali na picha ya samaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyinyi mlijenga tower tatu pesa ikaisha sasa tazameni muone mambo yanavyo enda
 
Sasa ni kumaanisha towers over 30 flr=Nairobi 10 towers minus pinnacle 2,montave 2,Hazina 1,88 Nairobi 1,Akili 1.....Dar 8 towers
 
Current towers over 30 flr in both cities.....(Nairobi)Avic 6 towers,Britam ,Uap ,prisim , Times tower......Dar) Tpa,pspf 2,Rita,Ppf,Mzizima 2,Mnf 1
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aaahh mfugale,hii ndo flyover bwana sio kama kile kitakataka cha Nakuru,jamaa wameweka huku tofali na kule tofali halafu imeisha eti flyover shiiit

Zile ni za bei chee wanapanga matofali wanakwambia flyoverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hiv imefikia wapi hii ishu? waliipigia kelele sana hii 🀣🀣🀣
Hawan pesa ya kujenga wamebakia kubadilisha majina ya projects kutoka hass kwenda pinnacleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…