Basi tulizeni mshono...ndo manake congo mmapigwa tu kila kuchao kw sifa za kijinga...we wachezea waasi...Mambo hayo hayaendi kimhemko na kukurupuka nyie pambaneni na hali zenu,hao wanaotwa al shabaaaab mujahedeen allah akbaaaar...
Once ukianzisha ugomvi nao haushi leo..
Nawe unajuwa km jwtz ni wakombozi wa africa...leteni wawafyeke ndani ya masaa manne tu...alafu muendelee kuongeza historia ya kuikomboa africaMy friend, Do u know Alshabaab are funded by the best US Allie Nation ?
USA sent you to fight His terror group so theyβll sell you 2nd hand overpriced weapons and destabilize Somalia.
Wakombozi wa africa wako wapi tpdf waje wawafyekelee hawa jamaa basi...ama hamtaki historia...Hahahahahahaha. Tulishamaliza kazi, jeshi letu ni kwa ajili ya ukombozi, sio kupigana hovyo bila sababu za misingi, mlipaswa kuliweka jeshi lenu mpakani na Somalia ili kudhibiti Alshabab wasivuke kuingia Kenya, sio kuingia Somalia without a winning plan, ona mnavyouliwa na Alshabab.
Mara yangu ya kwanza kabisa nilifanya kazi sumbawanga iyo road ilikua imeishia matai. ..ilikua 2016Barabara zinajengwa kila kona ya tanzania asante magu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116]
haha. maybeIla wadada w kikenya wazuri kweli sema hawanaga wakaka wazuri
well said.Kuna kitu unatulazimisha tujibu lakni ng'ooooo hatujibu kama unavotaka wewe..... HUMAN RIGHTS
nilichoka kuangalia the 3 blue towers.Hahaha I like how Kenyans hawashughuliki kujibiana na hutu tumtu twa 4th world ldc. Tuendelee hivo wasee lets reduce participation by 95% tuone wakijiongelesha with their boring over repeated photos of the fishing village View attachment 951849
Wakombozi wa africa wako wapi tpdf waje wawafyekelee hawa jamaa basi...ama hamtaki historia...
Vp mziki wa ADF..mnausikiziaje..naona wananchi wakilalama ya kwamba majeshi warudishwe nyumbani..nyambafu
Tuusan umewahi ishi swanga?Mara yangu ya kwanza kabisa nilifanya kazi sumbawanga iyo road ilikua imeishia matai. ..ilikua 2016
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Prism