Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mtu mzima kula githeri tuache watoto tule vanilla, inakusumbua nn hasa
nilitegemea ulete whisky au rum au vodka. lakini kwa vile hujakomaa kiakili, unaleta mambo ya kitoto. endelea hivo hivo
 
nilitegemea ulete whisky au rum au vodka. lakini kwa vile hujakomaa kiakili, unaleta mambo ya kitoto. endelea hivo hivo
Nilileta hapa mkasema mm bar maid I was shocked ,you guys hamuishi ujinga...hata nikileta nn hutaacha kuongea mbaya
And btw siwez kunywa OH daily sometimes nameza vitu nyororo kama niece wako as you said and it's just fine with me
 
ati barmaid?! krkrkrkrkr...
btw, tot moja ya whisky after a long day's work sio mbaya. na mimi huwa sinywi kulewa but just to get tipsy kiasi
 
Dar megacity
20181128_214107.jpg
20181128_214033.jpg
20181128_213907.jpg
20181128_213828.jpg
20181128_213731.jpg
 
Mm hua nameza kabisa sijui kuonja pombe..nowadays napendelea zaidi Gordon (dry gin)but kuna alcoholic fat liver bila kusahau lives cirrhosis incase hujui hizi kiyu
ati barmaid?! krkrkrkrkr...
btw, tot moja ya whisky after a long day's work sio mbaya. na mimi huwa sinywi kulewa but just to get tipsy kiasi
Mm hua nameza kabisa sijui kuonja pombe..nowadays napendelea zaidi Gordon (dry gin)but kuna alcoholic fat liver bila kusahau lives cirrhosis incase hujui hizi ni madhara za pombe mingi tule kwa kiasi
 
Mm hua nameza kabisa sijui kuonja pombe..nowadays napendelea zaidi Gordon (dry gin)but kuna alcoholic fat liver bila kusahau lives cirrhosis incase hujui hizi kiyuMm hua nameza kabisa sijui kuonja pombe..nowadays napendelea zaidi Gordon (dry gin)but kuna alcoholic fat liver bila kusahau lives cirrhosis incase hujui hizi ni madhara za pombe mingi tule kwa kiasi
ukianza kuangalia magonjwa yanayoletwa na na ukunywaji wa pombe, hautakunywa pombe. mimi huwa naji-moderate. too much of something is bad.
 
Kenya walijipanga kwa kujenga majengo ya vituo vyao vya garimoshi vyenye mvuto na nafasi ya kutosha. Hawana tofauti kubwa katika ujenzi huo ukilinganisha na vituo vyetu vilivyojengwa kwenye reli ya TAZARA na hasa Dar es salaam na Kapirimposhi. Vituo vilivyojengwa kwenye reli ya TAZARA pamoja na uzuri wake na nafasi ya kutosha kwa wakati huo, historia imethibitisha kuwa havikuwahi kutumika kama ilivyotarajiwa. Kama kwenye reli mpya wameona umuhimu wa kujenga vituo kulingana na uhitaji, nadhani ni jambo la heri, kuliko kuweka kituo chenye hadhi kubwa na badaaye kutotumika kikamilifu.
damn right forsho!
we really set the bar too high, it won't be easy for you to compete with us. bure mutapasuka misamba
 
Back
Top Bottom