Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I utahangaika sana we know what you are saying but do you know what we are saying kenya has high quality of life than tz
Nenda kasome halafu ndio urudi kwangu kunipa challenge maana naona hata huelewi maana ya quality of life ni nini.
 
Ukienda jukwaa la Kenya wa TZ tulikuwa tunawatukana sana kuhusu reli yao ila ndo hivyo
true story bruh!
walitukana mamba na mto hawajauvuka.... smh!
anyway, he who laughs last laughs the best. can't wait for the party to begin
 
Dah! Kiremba? Safi sana. Natamani kuziona. Hayo ndo mambo, nilikua naangalia architecture ya afrika na aina ya majengo nikagundua sisi tuna matatizo makubwa. Mungu akijaalia tutajenga jengo kubwa linalofanana na ikulu ya Watemi wetu hapo dar. We needed this. I am for this. My inner patriotic is burning up.
utashangaa sana....
na bado!
utajua kwa nini nyinyi ni ldc na mtabaki kuwa hivyo kwa miaka ishirini ijayo
 
Y'all welcome
20181128_204301.jpg
 
Back
Top Bottom