Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Meanwhile the people living under poverty line..
Kenya 39.7%
Tanzania 22%
This is more than poverty [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20181128_140545_350.jpeg
 
Hahaaaaaa now umeshaanza na Nairobi metro hahaaaa
The business here is about dar and nairobi,not dar and nairobi metro..comeback to your sense!
Kwani Nairobi metro iko Nakuru? ama ni ya Kampala? Ushaanza kutense [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyani wanaanza kuleta nairobi metro,nairobi ikishaanza kuzidiwa wanaanza kuishirikisha machakos na counties nyingine za jirani..hahfhhhjjjjjaaaaaaaaa
 
Did you ever go to school!? There is a difference between a concept, a rendering and a design. What you are showing is a concept.
So where is tatu city?????😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏👏 nioneshe tatu city zaidi ya miaka 7 naskia tatu city
 
So where is tatu city?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] nioneshe tatu city zaidi ya miaka 7 naskia tatu city
Ichoboy November inaisha na bado hamjafika Mumbai [emoji23][emoji23], What happened?
 
Kwani Nairobi metro iko Nakuru? ama ni ya Kampala? Ushaanza kutense [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukizungumzia metro unaanza kuleta county zingine za jirani,kama vile machakos,tunataka nairobi isimame by herself..
Tukianza kuleta bagamoyo na wilaya za jirani ya dar,si mtakimbia humu..
 
Kwasababu kenya tuko na middle class kubwa na magari mengi demand ya mafuta iko juu sana hahahahahahaha umeridhika ama unataka niendele kuexplain kwa nn tuko na oil leaks nyingi
Muko na gari nyingi how hakuna nchi siokua na gari nyingi jibu point yangu ilipo kwann kila project kwenu ni mess loss over loss😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏
 
Ukizungumzia metro unaanza kuleta county zingine za jirani,kama vile machakos,tunataka nairobi isimame by herself..
Tukianza kuleta bagamoyo na wilaya za jirani ya dar,si mtakimbia humu..
The question is, Was bagamoyo once Dar es saalam? Nijibu hiyo ndo tuendelee
 
Ebu leta picha za ujenzi ya hoima tanga pipeline last time i heard the Russian investors had pulled out
Hio ni project inayomhusu total company and not russia wamemaliza design tayari na sasa wameanza preparations kumbuka ni longest heated pipeline in the world😂😂👏👏👏
 
Back
Top Bottom