Naona munapambana na terminal 3 only ahahahha whole JKiA vs terminal3😂😂😂😂👏👏👏👏👏Hii takataka bado haifikii nusu ya JKIA...it only handles 2 million passengers View attachment 946815
Terminal 1 umekosa ahahahhahahah 😂😂😂😂😂👏👏👏👏 terminal 3 vs JKIA👇👇👇👇👇👇 kweli mumekalia kuti kavu
Wadanganyika hawana Airport. Yao inatoshana Isiolo International na tundege Mmoja ya kwenda Mwanza
Chunguza alafu uniambie nikuvumbulie ukweli.
Nakungoja kaka hapana potea swali rahisi.Sina muda kwa sasa labda uvumbue ulichonacho hakikisha una uhakika lasivo utalizwa😂😂😂👏👏👏
hawezi kukuonyeshaShow me terminal one there naomba nioneshe kwa hiari bila kulazmishwa😂😂😂👏👏👏👏👏👏
ichoboy utaua hivi vimtuSGR pugu station under construction👇👇👇👇👇👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 946597View attachment 946598View attachment 946599View attachment 946600
nyangauu mtanyoooka tu, kila siku ni lazima mumtaje mwanaume magufuli
Ila from my heart jkia ingekua TZ ningejisikia vibaya sana. Kama vile uwanja wa mpira hivi au sehemu ya machimbo, hata kile kituo cha nairobi sgr kinaafadhali
Unaelewa kimoyomoyo, let me remind youHapana lwta mabati rolling mills hapa.
👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇
sioni any extra ordinary staff hapaUnaelewa kimoyomoyo, let me remind youView attachment 946840View attachment 946841
Ehehehe kama vile kenya power
Walisema hvi june 2018😂😂😂👏👏👇👇
Na sasa imekua hvi nov 2018👏👏😂😂👇




Forest Road Nairobi. Enjoy the views of this beautiful City.




Kumbe ndo maana huwa hawaleti aerial view ya mabati rolling mills. Sasa nikisema ii ni zile primary schools za villafe nimekosea?
View attachment 946691