Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekataa hiyo ripoti ya WB?, lete ripoti ya Jubilee tuijadili kama hutaki ripoti ya WB.
 
Leta evidence hapa πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Leta evidence plzπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umekataa hiyo ripoti ya WB?, lete ripoti ya Jubilee tuijadili kama hutaki ripoti ya WB.
29.2 umesoma bank world ama macho ulinyimwa.........a poverty line ya LDC na non LDC ni tofauti kabisa........nyinyi mnapimwa na $1.25 but kenya at $2.05
 
Ukwei huu natumai utaupendaπŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ‘‡
 
29.2 umesoma bank world ama macho ulinyimwa.........a poverty line ya LDC na non LDC ni tofauti kabisa........nyinyi mnapimwa na $1.25 but kenya at $2.05
Hayo unayasema wewe, lakini katika hizo ripoti za WB hawajasema hivyo, wewe umekuwa mfanyakazi wa WB?
 
Acha kujichocha sgr tunajenga na imefika naivasha na tumekopa pesa na tunajenga SAA hyo inakuhusu aje ww c mkenya hautalipa deni ama umesikia Kenya imeshindwa kulipa deni tafuta point nionyeshe place healthcare ya tz imeshinda ya Kenya
Munejengewa kwa mkopo amabao hamutaweza kurudisha huo mkopo kwasababu wanauchumi wenu walisema reli mchina kawacharaza kindaki ndaki yani mumeambulia station lakini reli na treni zenyewe zilitumika 100 yrs ago huko chinaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Acha kujichocha sgr tunajenga na imefika naivasha na tumekopa pesa na tunajenga SAA hyo inakuhusu aje ww c mkenya hautalipa deni ama umesikia Kenya imeshindwa kulipa deni tafuta point nionyeshe place healthcare ya tz imeshinda ya Kenya
Ukinionesha hospitak kubwa zaidi ya hii nje ya nairobi nafunga account jamii forum leo leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…