Population c KTU ndugu yangu population is a resource when used well so population is not an excuse kuna nchi kama swaziland ina population ndogo lkini ni maskni wa kutupwa usisahau kuwa 70% ya botswana ni desert
Hayo mauzo hayamunufaishi asiye mwanahisa moja kwa moja zaidi ya kodi na ajira. Ndilo linatokea kwa jirani wana makampuni makubwa mauzo makubwa ya nje ila hawana ufaidi wa moja kwa moja.Mambo ni mengi yanachangia nchi kuwa masikini au tajiri,botswana inapatia kwenye almasi,naigeria si wingi wa watu bali mauzo ya mafuta.
GDP is not used to determine a country development gdp only determines the size of the economy china has a high gdp than britain germany france switzerland but it is not developed like those countries those countries have high quality of life than china even botswana beats china in quality of life and gdp per capita china has $8400 ya botswana ni $16900
It beats Nairobi any day
Hapo unaweka sniper anadungua ubongo mmoja mmoja ndani ya sekunde1Garisa City kenya
Tazama huyu polisi kwenye picha alivaa yeboyebo wakati wa mapambano na ali shababi, like seriously??
Namna hii kwanini alshabaab wasiendelee kuwatia vidoleView attachment 944638View attachment 944639View attachment 944640
Kitale city, Kenya
Yaani Kila pembe ya Kenya ni ufukara wa kutupwa,mwanzo mimi nilidhani slums ni Nairobi pekee, kumbe ni extension hadi Kwenye counties
View attachment 944646View attachment 944647View attachment 944648View attachment 944649View attachment 944650View attachment 944651
Nigeria shida tu......kiuchumi mafuta wanayatumia vizuri sana ila ile population yao nalo neno....ndio,huwa wanasema kuwa na watu wengi sana ni vizuri,lakini kwa mimi kuwa na watu wachache wanaotawalika ni vizuri zaidi,juzi hapa nilienda cape verde kwenye ile mechi ya stars,aisee watu wa kule wanamaisha mazuri aisee yaani kama ulaya tu..yaani kwa maisha ya mtu mmoja mmoja hiyo nigeria giant wa afrika wanasubiri sana kwa cabo verde!
Kenya has around 9800 Botswana around 2800 millionaires cko sure na figures unaweza nielimisha hapoKwa mahesabu ya kugawanya 22$bln kwa watu 2mill,na kugawanya 85$bln kwa watu 50mln uko sawa.ila field hali ni tofauti.
Embu nipe no za millionaires in both countries[emoji38][emoji38][emoji38]
Wananchi utajua wanaishi vizuri wakiwa na basic needs kama maji kama healthcare kama education kama proper housing hyo yote wananchi was Botswana wanayoMkuu hii ni dhana tu,wananchi wa botswana unajua wanaishije wewe!!!!
Hiyo HDI ya inchi inapatikanaje kama GDP haihusiki na maendeleo ya watu????
Kenya has around 9800 Botswana around 2800 millionaires cko sure na figures unaweza nielimisha hapo
Huyo mchizi kuanzia sura mpaka bichwa ni ugaliUkiona hii picha unajua tu Kenya huko kunashida.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani huko ni shida[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 944746
Heheeee Botswana is one of the richest countries in Africa. You can't compare it with your LDC country.Tanzania is a very poor country.
Hata kwa sasa wameshinda ww SAA hii nikukuambia uhamie nairobi ama gaborone utaenda wapi ????But kwa sasa bado???
current situation of the tanzania electric sgr.
tunamkimbiza mwizi kimyakimya... hatupigi makelele ila namba wanaisoma.
viva tanzania.. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 944901View attachment 944902View attachment 944903View attachment 944904
Nigeria is a case of human tragedy mafuta yao yote yanamilikiwa na shell companies Tanzania pia INA wingi wa madini inafaa ikuwe hyo level Botswana by nowMambo ni mengi yanachangia nchi kuwa masikini au tajiri,botswana inapatia kwenye almasi,naigeria si wingi wa watu bali mauzo ya mafuta.
Hata kwa sasa wameshinda ww SAA hii nikukuambia uhamie nairobi ama gaborone utaenda wapi ????
Hapana Nigeria haitumii mafuta vizuri mnawezaje kuwa na mafuta na hamna oil refineries mnapeleka mafuta nje yaoshwe halafu mnaimport tena population kubwa c mbaya ukitumia vizuri utavuna matunda ukitumia vibaya inakuwa liabilityNigeria shida tu......kiuchumi mafuta wanayatumia vizuri sana ila ile population yao nalo neno....
Botswana pako sawa sana tukubali tuSi Kenya pekee hata Nigeria. Kenya and Nigeria are lower middle income countries while Botswana is a middle income country.
Hacha kuchomesha picha basi😂😂😂Duh , Nilidhani barabara Zote za Nairobi ni mkeka until I saw this. Hii si mjini katikati kabisa. Duh. Hapo mvua ikinyesha ni mwendo wa kupaka tope barabara zote zingine gari litakapopita.
View attachment 944853