Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
Nairobi city
Nyie ni 1.6 sio 2.6Sawa ...32trillion divided by 2235.80 ni 14 billion dollars ..kenya ...2.6 trillion divided by 101 ni 26 billion ....fanya hesabu fala ...
malizeni uchaguzi kwanza na njaa janga la taifa maana uchaguzi wenu lazma muuwane kama mwaka mzima hvi hehehhehhehhehee ikiwa mpaka leo hii SGR haijaanza kazi what do you expectWhat do you think those 2.5 years Kenya will behehehhehhehheheethat one crossed your mind??
Dont be stupid na ufanye ku google ...usilete nonsense hapa ...2.6trillion ...1.6 ni ya ujinga wakoNyie ni 1.6 sio 2.6
Hiyo sio shida yako Danganyikani, bado tukitoka huko twawachapa tu kama kazimalizeni uchaguzi kwanza na njaa janga la taifa maana uchaguzi wenu lazma muuwane kama mwaka mzima hvi hehehhehhehhehee ikiwa mpaka leo hii SGR haijaanza kazi what do you expect
Hehhehhe safarii hii kazi munayo unbelievable year na munaingia kwenye uchaguzi mwaka mbaya sana huku munauliwa na njaa hehhehhehe tena uchaguz wa safari hiii kenya itageuka somaliaHiyo sio shida yako Danganyikani, bado tukitoka huko twawachapa tu kama kazi
Tanzania ina watu kwenye njaa mara mbili ya Kenya! Usiwe kama Nyani asieliona kunduleHehhehhe safarii kazi munayo unbelievable year na munaingia kwenye uchaguzi mwaka mbaya sana huku munauliwa na njaa hehhehhehe tena uchaguz wa safari hiii kenya itageuka somalia
BongoNairobi is the beautiful city in Africa growing day and night
![]()
![]()
![]()
![]()
Umeskia lini tunatangaza njaa janga la taifa hahahhaahhahahTanzania ina watu kwenye njaa mara mbili ya Kenya! Usiwe kama Nyani asieliona kundule
Unajua wewe unaushabiki wa kitoto, Mimi hata sitakupa link za kijinga kama hizo zako, Nakupa Tena facts about Tanzania, straight from World Food ProgramUmeskia lini tunatangaza njaa janga la taifa hahahhaahhahah
uchaguzi na njaa juu hahahaha kazi ipo safari hiiiiii soma hapo uone millions of kenya wanavokufa kwa njaa
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=http://www.voaswahili.com/a/2121905.html?pe=2&pr=0&pm=7&pa=8&t=All&ved=0ahUKEwii58WD173TAhVEJcAKHRw5ChQQFggfMAI&usg=AFQjCNF6x3pGl8SAfB7xj7IsAIw0YWP_dg
REALLY?Nairobi has the best Rooftop scenes than any other city in East and Central Africa
![]()