Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

0b033c75d4e2a49522fdb7044e15d3fc.jpg
 
Acha uongo wewe kilaza angalia apo budjet yenu na tafta uone budget yetu
Danganya waliojua
Tanzania 29.7trilion
Kenya 33 trilion
Na ikumbukwe kenya kuna mafisadi wakutosha2
Budget ya tanzania haija fika 29 bn ..uongo
 
Kwikwikwikwikwi. Yaani dogo wa kenya unaumia sana kuona TZ inawazidi.
Fanya convertion ....budget yenyu 29.5 trillion tanzanian shillings ...covert to dollers ..divide by 2235.80 ...inakua 13 billion ...wajinga ...mnataka kudanganya nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kenya 26 billion ....kazi ni ku cook values hapa ...
 
hahahaha... awa wasee ni makalulu... awajui kama pesa yao haina value. tukiwatolea facts na links ata za cnn na dailymail uk. wanasema ni sisi ndio tumeandika
 
hahahaha... awa wasee ni makalulu... awajui kama pesa yao haina value. tukiwatolea facts na links ata za cnn na dailymail uk. wanasema ni sisi ndio tumeandika
Haina value lakini ndio inakupelekeni mchakamchaka hahahahahha yani kwenye economy growth tanzania hamutaishika tena hio sahau kabisa sisi tuna 7.2 nyie bado muna 5.9 na bado hata haijazidi kwenu mm nawaambieni mwaka huu mbaya
 
na izi dough zangu za Kenya nikienda Bongo nizi convert, mi ni billionare
 
na izi dough zangu za Kenya nikienda Bongo nizi convert, mi ni billionare
Convert uje hakuna mtu amekukataza ndio maama Tanzania ya 2017 inakusumbua ubongo na huu ndio mwanzo tu bado ngoja tuone 2 yrs inayokuja hehhehhehe tusijekimbiana humu ndani
 
Kwanza umefungua link na kusoma hahahhahahaaha wacha pupa nimekuekea link ufungue usome
Sawa ...32trillion divided by 2235.80 ni 14 billion dollars ..kenya ...2.6 trillion divided by 101 ni 26 billion ....fanya hesabu fala ...
 
Sawa ...32trillion divided by 2235.80 ni 14 billion dollars ..kenya ...2.6 trillion divided by 101 ni 26 billion ....fanya hesabu fala ...
Kwikwikwikwi. Wewe kajama unachekesha sana.
 
guys just let these guys win, sawa mmeshinda kila kitu. One thing you guys need to understand is that its not all about competition, what matters is positive comparison, get the difference.
 
Back
Top Bottom